Tabia ya kuchomekea dera kwenye nguo ya ndani

Tabia ya kuchomekea dera kwenye nguo ya ndani

Kuna mzungu mmoja niliona nae kapiga mikato hiyo...Wazungu nao kwa kuiga
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-19-21-48-42.png
    Screenshot_2016-01-19-21-48-42.png
    473.2 KB · Views: 127
Jamani imekomaa hii tabia mdada unakatiza mtaa wa pili na watatu ndani una kipichu tu na umechomekea dera/dira tunatoa fundisho gani kwa jamii hata kama joto sio ustaarabu.Badilikeni.
Mi nikiwaona huwa nadi...ndisha sana
 
wkt mwngne ni refuu tunachomekea kwa chupi au kwa braaa.... sasa ni kwa rahaa zetu na ili usikereke Usiwee unaangalia tukifanya hivyooo...
 
Back
Top Bottom