Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,420
na wewe sitaki kukuambia uacheSawa kabisa..... [emoji3] [emoji3]
I know how it feels[emoji4]
na wewe sitaki kukuambia uacheSawa kabisa..... [emoji3] [emoji3]
Unanuka miguu eh basi miguu yako ipo mithili ya bata15 na 16 ndio tabia zangu hizo.......
teh teh teh
Wewe Utakuwa mgeni Afrika....unaweza kusema unawajuwa wazungu sana kumbe huwajuwiHayo unayoyasema kuwa ni matatizo ya wanaume wa kiafrika hata wazungu pia wanayo, ila tofauti wazungu wanaofanya hayo wanayafanya either kwa usiri mkubwa au mke anafahamu kabisa lakini anajua akipewa talaka hata status yake itabadilika anaamua kukomaa. Mengi yanatokea kwa aristocracy.
We umepata zaidi ya hicho?
Mmmh bas we unamatatzoulevi sio kitu kibaya
mwanaume unawezaje
kukaa week nzima
hujalewa?..
sijui ila ni ngumu sana
Hongera kwa hilo mkuuSina hata moja kati ya hizo
Uongo, uongo sijui kuacha lini
Umesha nigeuza kuwa mimi ni Mke aka (Female) mimi ni Dume angalia hiyo picha yangu mkuu.@uttoh2002Kama mmeo ana tabia zote hizo Hafai, uaijidanganye wote wako hivyo, sox zafuliwa kila siku na kama mke au gf una wajibu wakuhakikisha ni safi, sasa sijui wamlaumu nani
TehNasikia wewe ni kinara wa hiyo ya 15 mkuu!
Wewe Utakuwa mgeni Afrika....unaweza kusema unawajuwa wazungu sana kumbe huwajuwi
naomba unifundishe hiyo99.9% zote zinaepukika,shida watanzania tunapuuzia sana somo la tabia; mfano kusoma facial expressions,speech variation and moods
Umesha nigeuza kuwa mimi ni Mke aka (Female) mimi ni Dume angalia hiyo picha yangu mkuu.@uttoh2002
Siwajui wazungu saana kama niwajuavyo wanaume wa kiafrika, baba zangu wakubwa na wadogo, wajomba na kaka zangu wote ni wanaume wa kiafrika. Ila nimegundua haya matatizo makubwa tuliyonayo Afrika kama corruption, kuwa na mistress na mengine machafu yote wanayafanya wao tena wale watu walio juu kwenye society lakini ni kwausiri mkubwa sana.