Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,152
hivi nini kinapelekea namba 15?
hahahUzi umekaa ki-uganga uganga.
ulevi sio kitu kibaya
mwanaume unawezaje
kukaa week nzima
hujalewa?..
sijui ila ni ngumu sana
Duuuuh hii kali eti 2c,basi tufanye 2b.Kwa lugha yangu sio 2C
Hahaha....Benny Bhana!
Basi na sisi wanawake kuomba kuomba si kitu kibaya, kama ulevi kwenu si kitu kibaya.
Hivi mwanamke unakaaje wiki nzima bila kuomba (hela)?!..😵
Sijui ila ni ngumu sana.
atoto
Mkuu MziziMkavu hii isome tabia sugu za baadhi ya Wanaume wa Africa. Kisha utuwekee na tabia sugu za baadhi za Wanawake wa Africa.
Natanguliza shukrani Mkuu.
Eti unatanguliza shukurani, mutuwache...lol!
Khaaa chapombe wewe mweeulevi sio kitu kibaya
mwanaume unawezaje
kukaa week nzima
hujalewa?..
sijui ila ni ngumu sana
Hahah...
Khaaa chapombe wewe mwee
Mkuu wanawake wanasemwa sana humu kwakwel Leo zamu yenu.Mkuu MziziMkavu hii isomeke tabia sugu za baadhi ya Wanaume wa Africa. Kisha utuwekee na tabia sugu za baadhi za Wanawake wa Africa.
Natanguliza shukrani Mkuu.
Wiki tu?? Hata mwezi muwe mnakaaulevi sio kitu kibaya
mwanaume unawezaje
kukaa week nzima
hujalewa?..
sijui ila ni ngumu sana
Hahaha...kwanza nimekumiss!Wiki tu?? Hata mwezi muwe mnakaa
mmmmmh kama nakuelewa vile tena hususani ukielewa ulevi wakoulevi sio kitu kibaya
mwanaume unawezaje
kukaa week nzima
hujalewa?..
sijui ila ni ngumu sana