Tabia sugu za wanaume wa Afrika

Tabia sugu za wanaume wa Afrika

Naona kama Ubabe na ukali ni kitu kilekile ingawa umekipa namba tofauti
tofauti ipo, ubabe ni utemi, kutokiri kosa hata kama ukikosa na kufanya neno lako kuwa sheria, halipingiki. Ukali ni kufofoka ovyo, kununa saa zote. Design ya wazazi wakikoloni siku ukiitwa na baba mikojo inakutoka.
 
hahahaaaaaa!! Benny ana stress za kushindwa kucompete, ila kuomba hela hakukwepeki kama ambavyo amedai kulewa hakukwepeki.
hahahah...mzaa chema wewe sio wa kuniambia maneno makali hivi
mbona mara ya mwisho tulikubaliana vyema?

unasahau kulewa ni dunia nzima ila kuomba hela ni kwa mabinti wa mbagala tu?
 
Binadam bwana sijui lipi kwetu jema
Mwanaume akitaja maendeleo yake wazi wazi oooh uyo mpenda sifa mlopokaji sijui lipi jema kwetu sis binadam
 
hahahah...mzaa chema wewe sio wa kuniambia maneno makali hivi
mbona mara ya mwisho tulikubaliana vyema?

unasahau kulewa ni dunia nzima ila kuomba hela ni kwa mabinti wa mbagala tu?
tatizo lako maneno mengiii vitendo hakuna.
unadhani hata ukisema wa tandahimba ndio hatuombi? yaani hiyo haikwepeki.
 
tatizo lako maneno mengiii vitendo hakuna.
unadhani hata ukisema wa tandahimba ndio hatuombi? yaani hiyo haikwepeki.
sasa naanza vitendo mama
usifunge milango ya Pm na Mpesa
naingia hapo muda wowote kutoka sasa!
 
17. Kila mwanaume lazima aombe goti siku hizi...is this a trend or what!
 
Back
Top Bottom