Tabia/ sifa za Marais wtu zinazofanana

Killing machine

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,210
1,353
Habari wa kuu zangu?

Nimechunguza nimejikuta nagundua kwamba viongozi wetu/ma raisi wetu Wana TABIA zinazo fanana na TABIA zenyewe ni hizi zifwatazo

1.Hawajiamini..

Wafikapo madarakani huelekeza sana nguvu kwenye ukaribu na vyombo vya Dola kuliko Wananchi wao walio wachagua kuwa tumikia sjui kwa nini? Na lengo lao huwa nini? Sjui Hawa fikirii madhara ya kuchanganya siasa na jeshi?

Lakini pia maisha yao madarakani wamekaa mkao wa kukimbia kimbia tu kwamba anafisadi ili vije kumsaidia baadae yaki tokea machafuko kwenye inchi anayo iongoza sjui kwanini?

Kwanini Hawa fikirii kuitengeneza amani kwenye inchi yao ili wasije kukimbia daima?

2. Hawajishitukii
Hata waki kosea wasifie tu hapo watajiona wako sahihi hata Kama wanajua wamekosea ukienda kinyume na hapo Aiseeh uta firisiwa Kila kinacho kupa kiburi

Hali hii Ina ludisha nyuma maendeleo ya taifa letu sjui kwanini wako hivi?

3. Hawana uzalendo

Wao wanafanya kwa maslahi yao na familia zao sio kwa masrahi ya taifa wala watu wao/wanainchi wao
. Kwa mfano akijenga soko basi hapo Kila sector inayohusu mapato atapachikwa ndugu yake lakini litaitwa ni soko la watanzania usishangae

Akianzisha bara bara hawezi kuimalizia mpaka uchaguzi ukaribie ndipo ataimaliza kusudi apate kula sio kwasababu ni jukumu lake kuitumikia inchi sjui kwanini?

4, Dar salaam kwanza

Kwenye akili zao hakuna mikoa mingine ya kuiendeleza wao ni DSM. Kiasi kwamba nikama hakuna mikoa mingine ya kui endeleza isipo kuwa Dar es Salaam. Kwa kifupi ikipigwa dar ime pigwa inchi mzima kwanini tusi wekeze hata mikoa mingine?

Kwani hata panya ana mashimo Kila nyumba ya kutunzia chakula ili huku kiki ungua anaenda kula kule why us?

japo jk na jpm wali jaribu lakini Bado upepo ume hamia dar sjui kwanini dar tu ?

4. Uchaguzi kwanza

Kila wanacho kifanya viongozi wetu niku hakikisha Wana shinda uchaguzi. Sio kwa ajiri ya inchi au wajibu wao. hapana ni kwa ajiri ya uchaguzi na hili sija jua ni kwanini Wana kuwa na roho hizi?

5. Ubinafsi
Yaani umeme ukikatika inchi mzima lakini kwake yeye Kuna generator. Basi Wananchi wote Wana generator's

Kwake kukiwa na maji Basi inchi mzima Ina maji. Lakini pia upande wa nyadhifa Kuna Ubinafsi Sana Aiseeh na sjajua ni kwanini

Mwisho tuipende inchi yetu tuitunze amani yetu

Mungu ibariki Tanzania mungu wabariki viongozi wa Tanzania.
 
Mkuu tabia ya viongozi hutokana na hulka ya jamii husika

Viongozi hawatengenezwi kutoka hewani, hutoka miongoni mwa wanajamii

Trust me mkuu Hata wewe ukipata hicho cheo utakua wale wale tu 😂😂😂
 
Mkuu tabia ya viongozi hutokana na hulka ya jamii husika

Viongozi hawatengenezwi kutoka hewani, hutoka miongoni mwa wanajamii

Trust me mkuu Hata wewe ukipata hicho cheo utakua wale wale tu 😂😂😂

Hapana mkuu japo naskia kile kiti kina uchawi wake🤣🤣
 
Back
Top Bottom