Huyo ni Mpole tapeli au tapeli mpoleHAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Kwanini unadhani wewe ni mpole?Tabia hii ninayo kama mimi, ni mpole sana ila nikikasirika nikishasema baaassiiiii ata aje nani siwez
Watu wapole wengi ni wastaarabu huyo kuna kitu ulimfanyia au ipo siku atakuja kukulipa na kukupa zaidi ya hzoHAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Tofauti ya upole na unyenyekevu ni nini?
Naombeni mniambie
Umebadilisha sim ni mbona typing error za kutosha Sky?Yale Maya's baada ya daraja si yana it wa ya Salender?
Kweli mkuuTabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.
NiambieKhantwe,
Nimemiss comments zako,Niambie
mnanisema sio...? maana kuna watu najitahidi niwasamehe ila naona acha wakome tuuHiyo ndio sifa kuu
Mi niko hivo hivo![]()
Sifa kubwa ya mtu mpole ni kuwa mvumilivu kwenye maudhi.
Woow thanx I hope umefurahi sasa kuzionaNimemiss comments zako,
AbsolutelyDangerous people in the world,are those who SEE,OBSERVE AND KEEP SILENCE..
Mchana mwema
MkimyaMimi siyo mpole