Tabia Nane za watu wapole

Tabia Nane za watu wapole

Nyie mnachanganya upole na ukimya,mkiona mtu sio muongeaji sana basi mnamwita mpole kumbe hana sifa za upole.

Mfano mie natambulika kwa upole ila wengine wanakataa kuwa mie sio mpole kisa tu naongea sana nikiwa na watu ninaofahamiana nao na sio mkimya mkimya.
Usipoteze mda mwingi kubishana na mwanaume mwenzio ili kujua wanawake wanachofikiria
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu Mpole, Mtaratibu na Mnyenyekevu.

Mtu anaweza kuwa mpole lakini si mtaratibu

Mtu anaweza kuwa mpole lakini hana unyenyekevu.

Mtu mpole ni yule asiye mkali na si Mgomvi.

Ila pia watu wengi wapole wana hekima, Uvumilivu na busara.

Kwa upande wa pili...watu wapole huwa wakireact kwa hasira ni wabaya sanaaa kuliko wale wanaojulikana kuwa ni Wakali.

Pia watu wapole wengi wao ndio wanaowafaidi sana wanawake na pia ndio wanaoongoza kuwa na watoto wa nje ya ndoa.


Wanawafaidi wanawake???
 
HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.

HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.

MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Huyo alikuwa tapeli tu kama matapeli wengine hakufanya hivyo kwa sababu ya upole
 
HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.

HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.

MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Huyo rafiki yako alikuwa mkimya ama mvivu kuongea na sio mpole kwani wengi huwachukulia wakimya kama wapole
 
Tabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.

Dah wewe jamaa utakuwa unanijua.
 
Back
Top Bottom