Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,904
Akikasilika anafanyaje kwani ataua mtu?Siku akikasirika ndio utajua balaa lake.
Akikasilika anafanyaje kwani ataua mtu?Siku akikasirika ndio utajua balaa lake.
Kiasi tuMkimya
Ahaaaa haaaaa haaaSana tu Mkuu..... Nawajua ...ukishika smartphone yake ingia kwenye Chrome type ... www. Afu yenyewe itamalizia www.xvideo.com [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji32][emoji32] wahanga wa mafuriko ya Selfie
Unaona sasa!???[emoji15] [emoji15] ....yaan we ndo typical mkuu[emoji23] [emoji23]Unajua watu ambao ukiwaudhi wanakwambia hapo hapo ni wachache na si kwamba et watu wote wacheshi wako hivyo bali ni tabia za baadhi ya watu.
Hivyo na watu wapole pia sio kwamba wote wapo hivyo unavyosema,mie mtu anaweza kuniudhi na nisimwambie na nikamsamehe kabisa bila hata yeye kujua.
Na wachawi ni hao hao mkuu.....huoni wengi wa wachawi ni wanaongoza kwa ibada na kitaa ni wanakuwa hawana maskendo.. Wapole na wakimya kumbe behind the scene ni nuksiWauaji kweli
Wachawi hapana
Ila ni mkimya mkuu? Si ndio?Mimi siyo mpole
Unanichora eee[emoji12]Ila ni mkimya mkuu? Si ndio?
That's y nikasema half half...wee sio waruwaru wala mpoleKiasi tu
Taja na madhaifu yao, maana naona umewaongelea ubora wao tuu..Tabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.
Kama ulivyo tu[emoji41]That's y nikasema half half...wee sio waruwaru wala mpole
Moderate gentleman[emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji15] [emoji23]Unanichora eee[emoji12]
Mmmh ....mi niko full wewe sibakishi kituu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ulivyo tu[emoji41]
Moja tu hilo?Ubaya wao wanakaa na vitu rohoni,wana kiburi..
Wenda wazimu kumbe niwengi Tanzania.[emoji12] [emoji24]Mfano mzuri wa mtu mpole ni Lowassa.
Peopless!!
Shida yenu mlio full huwa mnakung'uta kila kitu moyoni na kuhamishia kwa wengine[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh ....mi niko full wewe sibakishi kituu[emoji23] [emoji23] [emoji23]