Mi niko hivo hivoHiyo ndio sifa kuu

Haki unanifaa!!.....naomba tulianzishe my dear!Enhee Kwan waonaje?
ukimya una faida kama kupata nafasi ya kutafakari mambo yako bila bughuza,kuepuka kugombana na watu,lakin pia inaepusha watu kukujua undani wako so hauwapi nafasi ya kuku jua but hasara kubwa ni pamoja na kukosa marafiki kwa wakati,watu kukuona lof.a,watu kukuona ant-social,kuna hatari ya kufanya maamuz magumu na ya kutisha ambayo yanweza kukuletea shida maishani.
PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMfano mzuri wa mtu mpole ni Lowassa.
Peopless!!
Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
Mi niko hivo hivo ila sina ntoto nje ya ndoa.Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu Mpole, Mtaratibu na Mnyenyekevu.
Mtu anaweza kuwa mpole lakini si mtaratibu
Mtu anaweza kuwa mpole lakini hana unyenyekevu.
Mtu mpole ni yule asiye mkali na si Mgomvi.
Ila pia watu wengi wapole wana hekima, Uvumilivu na busara.
Kwa upande wa pili...watu wapole huwa wakireact kwa hasira ni wabaya sanaaa kuliko wale wanaojulikana kuwa ni Wakali.
Pia watu wapole wengi wao ndio wanaowafaidi sana wanawake na pia ndio wanaoongoza kuwa na watoto wa nje ya ndoa.
Tunaenda sambamba sasa...mkimya anakusnitch bila wewe kujua ndo napowachukia sasa!Mie hizo sifa nazijua vizuri kwa sababu naishi nazo.
Ujue kigezo cha kuwa mkimya ni kutokuwa muongeaji sana basi,hivyo ndiyo maana kuna watu wanafahamika kwa ukorofi lakini ni wakimya.
Sasa mtu mpole hawezi kuwa na sifa ya ukorofi hata kidogo,hata mie mtu mkimya simpendi.
Hahaaaaaaa 😀Haki unanifaa!!.....naomba tulianzishe my dear!
Wanapenda kuweka vitu rohoni na kulipa visasi, that's y siwapendi mkuu!Walikufanya nini.
nakumbuka mmoja wa ma ex wangu anaitwa Witness, sijui ndio wewe.![]()
mkuu hii ni ID fekero namuwakilisha Witness bonge ( yule mwanamuziki)Edward LowassaMfano mzuri wa mtu mpole ni Lowassa.
Peopless!!
Tru mkuu..Umesahau pia upande mwingine.
Ni watu wa ajabu sijawahi kuona, ni watu wenye maamuzi magumu sijawahi kuona.
Ni watu wasioshaurika em elezea upande wao wa pili
umesahau tabia nyingine wanajiuaga kwa sumu au kujipiga risasi bila sababu za msingi na kuwafanya watu wabaki midomo wazi .HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Sifa kubwa ya mtu mpole ni kuwa mvumilivu kwenye maudhi.Ila usimchokoze over
Wanapenda kuweka vitu rohoni na kulipa visasi, that's y siwapendi mkuu!
Witness?![]()
![]()
mkuu hii ni ID fekero namuwakilisha Witness bonge ( yule mwanamuziki)



aisee imebidi tu nicheke....watu ambao hawajanizoea wanasema mimi ni mpole, ila nikishazoeana nao wanasema mimi sio mpole ila mkimya...