Tabia Nane za watu wapole

Tabia Nane za watu wapole

Tunaenda sambamba sasa...mkimya anakusnitch bila wewe kujua ndo napowachukia sasa!

Mpole anachukia ila anajifanya yuko okay

Ila mcheshi/ muongeaji ukimuudhi analipuka hapo hapo na life goes on, so far hawezi kukuficha kitu yaani ni hawakaagi na kitu rohoni ni wanakerekaga fulani hivi which is good!

Umeona huo utafauti wako wa watu watatu sasa? So mimi nimeamua kuachagua fungu la tatu, coz ninawafahamu mnoo
Watu wengi huwa mnatafsiri upole wa mtu ni ujinga,sasa siku mtu akikuonesha kuwa sio mjinga ndipo mnapokuja kusema watu wapole ni wabaya.

Sasa labda wewe ndiyo umepitia hali hiyo.
 
Sorry mkuu!!! Kwani kuna tofauti yoyote kati ya mtu mpole na mtu anaependa kuombewa au kumtaja mungu kila wakati ???
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu Mpole, Mtaratibu na Mnyenyekevu.

Mtu anaweza kuwa mpole lakini si mtaratibu

Mtu anaweza kuwa mpole lakini hana unyenyekevu.

Mtu mpole ni yule asiye mkali na si Mgomvi.

Ila pia watu wengi wapole wana hekima, Uvumilivu na busara.

Kwa upande wa pili...watu wapole huwa wakireact kwa hasira ni wabaya sanaaa kuliko wale wanaojulikana kuwa ni Wakali.

Pia watu wapole wengi wao ndio wanaowafaidi sana wanawake na pia ndio wanaoongoza kuwa na watoto wa nje ya ndoa.
Big up mkuu! Kiukweli sisi watu wapole unaweza ukakaniwa hata na mtu mwenyewe uliyemwibia!
 
umesahau tabia nyingine wanajiuaga kwa sumu au kujipiga risasi bila sababu za msingi na kuwafanya watu wabaki midomo wazi .
Mimi ni mpole na mkimya, lakini sijawahi kifikiria kujiangamiza kiboya hivyo.
 
aisee imebidi tu nicheke....watu ambao hawajanizoea wanasema mimi ni mpole, ila nikishazoeana nao wanasema mimi sio mpole ila mkimya...

Nabaki najiuliza tofauti ni ipi, anyway nimekusoma toka mwanzo kuna sehemu pana ukweli.

najitahidi nisikwazane na mtu maana nikimchukia sijui kumsamehe na huwa natamani nifanye revenge maumivu niliyopata na yeye ayapate.

Ila ni tabia mbaya najitahidi sana kuiacha!
Haaa haaa....umeona ehh!

Mpole mara nyingi ndo huyo huyo mkimya...wana libalaaa lao hilo

Akikuchukia hasemehi, full vinyongo huku katulia tu! Sasa hiyo si murder case inatafutwa
 
Watu wengi huwa mnatafsiri upole wa mtu ni ujinga,sasa siku mtu akikuonesha kuwa sio mjinga ndipo mnapokuja kusema watu wapole ni wabaya.

Sasa labda wewe ndiyo umepitia hali hiyo.
Hamna mkuu...napenda nikimkosea mtu aniambie hapo hapo niombe radhi mambo yaishe tusonge mbele ( sababu hakuna mkamilifu na naweza fanya kitu mi nikaona poa kumbe yy nimemkwaza mbaya)...sasa hawa watu hakwambii wala nini siku ya kurevenge ndo utajua balaa lake ...maisha gani sasa hayo!
 
Back
Top Bottom