WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 977
Muda ni mali..ukipita umepita huwezi ku rewind!
Inakuwaje watu wanashindwa kuzingatia rasilimali hii muhimu inayoitwa MUDA? Utamwalika mtu nyumbani kwako aje kwa chakula cha mchana au usiku.Unampa na muda kuwa chakula kitakuwa saa saba mchana au saa moja usiku.Unashangaa... mhusika anakuja masaa matatu baadae! Haoni anakushindisha njaa?
Unamwalika mtu kuhudhuria mkutano saa 3 asubuhi... anafika baada ya saa 4..ina maana hajui kuwa kila agenda ina muda?
yako mengi sana...na ukiyafikiria sana unaweza kuona mateso na hasara ambayo inatokana na kupoteza hii rasilimali.....
hebu endelezeni huu mjadala..maana natoka kidogo nitarudi kuendelea
Interesting!VC
Kipindi pekee ambacho watu wanajali muda ni kwenye appointment za kungonoka. Ningekushauri ungeliweka hili kwenye thread yako uone ambavyo watu wangeichangia. Kwenye vi date hakuna kupoteza muda, ndo ujue Yesu kashalipa nauli ya kurudi duniani.
VC

KUMBE INAWEZEKANA KUWAHI EH?Gademu Chris.... Yaani hii ni kweli aisee in most cases!!! Hasa kabla ya kumega, na utakuta mtu anawahi hata masaa... Hahahaaaaaa
Hii naipa platinum ya wiki mazee
VC
Kipindi pekee ambacho watu wanajali muda ni kwenye appointment za kungonoka. Ningekushauri ungeliweka hili kwenye thread yako uone ambavyo watu wangeichangia. Kwenye vi date hakuna kupoteza muda, ndo ujue Yesu kashalipa nauli ya kurudi duniani.
Nchi zilizoendelea ukijifanya hujali muda basi utajikuta unapitwa na kila kitu kuanzia appointment ya daktari, kusukwa nywele, kusafisha meno yang'ae,......
utaachwa na train, tram, bus, ndege....