Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Unakaribishwa sehemu, mwenyeji wako anakuacha sebuleni na Tv yenye Tamthilia za wale Jamaa au Bongo Movie, yeye yupo busy kukuandalia ulichofuata au lah, Chakula huko jikoni, Utakuta nimezima Tv mkuu!!
 
Uwiiiiiiiiiiiiii huo ulaji wa kutia kijiugali kijidogo kwenye hotpot halaf walaji wengi siupendi min huo ni uchoyo

Alafu mtu huyo bado anakukaribisha kinguvu wakati anajua fika maji ya kupikia ugali walihesabu vikombe
 
Wageni ni baraka. Wanakuja na kheri na wanaondoka na nuksi zote zilizopo ndani ya nyumba. Mengine tuvumiliane tu jamani. Hakuna mkamilifu.
IMG-20170722-WA0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sipendi tabia ya kipande kikubwa mamamwenye nyumba kukiwekeka chini a lafu juu unaweka vipapatio alafu tukicharuacharu unanuna si uweke juu vipande vikubwa vote hahahaha

Huu ndio ugomvi wa mleta mada hataki mgeni uchakue ukakutane na nyama alizo kua amejichagulia ila chakumshauri kama anaroho kubwa kiasi hicho hivyo vipande pendwa vya kuku awe anavibakisha jikoni avile wageni tukishaondoka au akiona tunamchelewesha akale chumbani
 
Huu mwaka wa 4 sijapata mgeni,

Kama wewe ni mgeni iwe nimekukaribisha au umekuja ghafla jiandae kwa yafuatayo.

1. Huduma zote za nyumba unazifanya mwenyewe kama kula, kuoga, sehemu ya kulala.

2. Usafi ni lazima ufanye kwa vyovyote vile.

3. Muda wa kukaa kwangu ni masaa 144.

4. Ukiondoka unalipia fedha kama kuchangia sehemu ya kodi kwa muda ulio kaa, kwa saa 24 tunakuchaji 1,300/= kwa maana hiyo kwa saa 144 tunachaji 7,800/=

KAREEB TENA WAGENI.....!!
 
Kwa kweli najiona sina sifa za kuwa mgeni wako, yaani nikae kama niko kwenye gwaride! Unilazimishe nile kipande cha kuku nisichokipenda!
 
Habari zenu wa Jf
Kuna tabia ambazo wageni wamekua wakifanya masebuleni mwetu na sisi kiukweli hatuzipendi ila tunashindwa kuwaambia coz ni mgeni unaogopa kumuuzi.
Baadhi ya tabia zinazonikera mimi ni kama ifuatavyo
1. Mgeni kupandisha miguu juu ya kochi, inakera, kama unajisikia kukunja miguu yako si bora ukae chini basi uikunje vizuri. Kuliko kupandisha milonjo yako kochini.

2. Wakati wa chakula labda umekaanga kuku umeweka kwenye bakuli self service unamkaribisha mgeni badala achukue vipisi asepe yeye anaanza kuchakura chakura yani atafukua mpaka kipande cha chini sijui ndio anatafuta kikubwa zaidi inaboa. We ukikaribisjwa fika chukua sepa.

Je wewe ni tabia gani hupendi kutoka kwa mgeni wako? Funguka hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii naona umenilenga mimi hasa hiyo namba moja. Lakn me nishajua matatizo yako huwezi kumstili mgen wako unakuja kuanika juani huku kula mja anione. Kuja kwako tena mwisho ni pale juzi hunioni tena ala!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sebule zenyewe kama stoo, alafu mnalalamika kweli

mi sina sebule alafu sionagi shida mtu kunibugudhi huwa nasepa namwacha na ujinga wake
 
Mtu anakuja huko atokako
Cjui wap amekukuta unaangalia zako ball,movie,
Kila ambacho umekichagua ww sasa yy anakuja


anakuambia at embu weka
Chanel flan wanakera kinyama hawa watu wa namna hii

[Color= yellow]Triple A[/color]

wanakera afu utakuta anakuambia ueke chereko cjui
 
Mgeni aje kwangu na mtoto alafu dogo mtundu balaa, mala kachakua hichi kaacha mala hichi yaan nakasilika balaaa.
Nataman nimuwashe konzi la maana atulie ila nashindwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu unakuta mtoto mtundu namna hiyo na mama take anamwangalia tu kana kwamba anachofanya ni cha kawaida.
Au utakuta anaenda kuziba TV halafu mamake anasema ukimwondoa hapo mnagombana, eti nimwache mtoto mpaka atakapoamua kuodoka nwenyewe. Huwa inakera Sana.
 
Mgeni aje kwangu na mtoto alafu dogo mtundu balaa, mala kachakua hichi kaacha mala hichi yaan nakasilika balaaa.
Nataman nimuwashe konzi la maana atulie ila nashindwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu unakuta mtoto mtundu namna hiyo na mama take anamwangalia tu kana kwamba anachofanya ni cha kawaida.
Au utakuta anaenda kuziba TV halafu mamake anasema ukimwondoa hapo mnagombana, eti nimwache mtoto mpaka atakapoamua kuodoka nwenyewe. Huwa inakera Sana.
 
Back
Top Bottom