Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Mtu anakuja huko atokako
Cjui wap amekukuta unaangalia zako ball,movie,
Kila ambacho umekichagua ww sasa yy anakuja


anakuambia at embu weka
Chanel flan wanakera kinyama hawa watu wa namna hii

Triple A
Yan mkuu umeongea kitu kinachonikera kwelu kweli....
 
Blaza, siku zote vipande vikubwa kama paja na papatio hutangulizwa chini ili visivunje vingine. ila Bahati Mbaya.... karibia wageni woooooote wanaijua hii tekiniki.
Sasa kuna wageni nyumba zetu haujawahi kulishwa papatio wala kimkia.

Ukiniambia nipakue aidha nitaperekechua au nitazuga ili niwe wa mwisho ili nikutane na mapaja
 
Mgeni kuja na kuanza kuchunguza chunguza vitu vyako mara hiki mara kile..

Ndio maana kwangu nimeweka bango dogo lenye ujumbe "Mgeni karibu kwangu ila utakayoyakuta huku yaache huku huku'
mkuu uko sahihi, mimi ndo najiulizaga hivi inakuaje uje uanze kunipekua pekua wakati mimi nikija kwako sifanyi hayo mambo na wala sifatilii vitu vyako.
 
mkuu uko sahihi, mimi ndo najiulizaga hivi inakuaje uje uanze kunipekua pekua wakati mimi nikija kwako sifanyi hayo mambo na wala sifatilii vitu vyako.
Ni hulka za watu hizo mkuu, ustaarabu unampita kushoto
 
Kariiiiibu kariiiibu, jisikie upo nyumbani! Jamani mbona haupakui cha kutoshaaa?
Huku jicho la mwenyeji linatembea na mkono wa mgeni.

Tabia hatarishi kwa wageni
Me huwa nawakomesha wa hivyo unakuta anakuambia mbona huli mboga naacha chakula naanza kula mboga tu mboga tu mpk mwisho.
 
Back
Top Bottom