Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Hapo ndipo wenyeji wetu huwa mnayumba kunanyumba moja nilikaribishwa kwa mbwembwe nikawa nazingua dk yamwisho nikajisemea nisije nikaonekana nimewadharau ngoja niingie basi wakati wakukata ukali nikapewa kisu wa kwanza ile kufunuliwa poti nikakuta kilichomo ndani hakiakisi watu tulio lizunguka hilo poti lakini kiukweli ilibidi wajute tu maana baada ya mimi kukata niliona wengine wakiondoka kuelekea nje
ina maana ulimaliza mchezo kabla dakika 90?
au ulipiga K.O (knockout) ?
 
Mimi mgeni anae nikera kiukweli niyule anaye kuja au unaenda nae nyumbani akifika anaanza duh!..mkuu ulijua kuchagua kwelikweli shemeji mzuri!...hivi hakuna wadogo zake walio bakia huko?....utadhani anamoango wakwenda kuwalipia ada [emoji15]
 
Kwa mgeni inabd uvumilie tu usionyeshe kukerwa
Ila sasa wafundishe wanao vitu vinavofaa wakati mpo mezani

Kwa upande wangu(nimevipata toka kwa wazazi wangu)
Nimewaelekeza watoto tuwapo mezani

Usionjee kijiko chai kama sukari imekolea au lah

Hakuna kuvuta chai ...ipozeshe au subir iPoe

Hakuna kudumbukiza mkate kwenye chai nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kauzu duuh [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba wangu ndio alinifundisha hii tabia ya ukauzu. Kwamba ukienda mahala ukaoana mtu anakukaribisha chakula lakini kama vile hataki hata kama ulikua umeshiba wewe kula tu kumkomoa na roho yake mbaya tena chagua nyama nzuri nzuri na kama kaweka mifupa mwambiebmbona bakuri ina mifupa tu, ulizia minofu iko wapi???!!!!

Watu wachoyo kama mtoa mada dawa yao ndio hiyo, unachagua nyama nzuri nzuri zote unajaza sahani yako hadi roho impasuke, dawa ya mtu mchoyo ni kumuonyesha ukauzu ili kama anavimba apasuke.
 
Back
Top Bottom