munchamuja
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 350
- 885
Mgeni anakuja kwako,cha maana hasa kilichomleta hana,yeye ni kusema watu tuuu.yaani kila issue ya mtu ye anaijua.huwa sipendiii na kumwambia aondoke ndo siwezi.basi nabaki kuitikia tu.
Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()



wageni wengine wanatema miguu akivua viatu yaani mpaka kero.... bora hata waingiage na viatu
Halafu unakuta anajifanya mgeni kwanzaSasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()

Kuchezea mapua ndio ninikuchezea mapua,hata kwenye daladala yaan natamani kuwachapa vibao
Halafu kwa roho yake anamwambia mgeni aanze kupakua ili mgeni akutane na mifupaSasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()
Unakuta mtu firigisi au paja kalificha mbali kabisa chini ya hotipoti au sahani kubwa, na mimi bila kula hivyo vitu kwenye kuku ni kama sijala, kwa nini nisikitafte hadi nikipate, na kama hakipo nauliza kabisa mbona sioni firigisi???!! Hahaha.Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()
Hakuna kitu nachukia kama mpiraMimi nakerwa na mgeni anakuta unaangalia mpira alafu anakuambia ubadilishe chanel umwekee anayoitaka
Dah! Pambafu kabisa wageni
Hahaha huyu mwenyeji noma aseeh... yaani mapaja anayaficha chiniAnakua amejiwekea yeye akijua wageni mtachukua za juu ambazo ni vipapatio na shingo alafu yeye wamwisho akakutane na firigisi na mapaja![]()
Hahaa... yaani vipaja anavichimbia chini kabisa... hahaHalafu unakuta anajifanya mgeni kwanza![]()
![]()
![]()
Wageni wajanja lazima tufukueHalafu kwa roho yake anamwambia mgeni aanze kupakua ili mgeni akutane na mifupa
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
Wageni wake walisha mshitukia anaficha vipande vizuri chini, juu anaweka vipapatiro, kwa hiyo namshauri next time alete huyo rosted kuku kwenye sahani kubwa ambapo kila kipande kinaonekana.Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()