Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Hahahah hongera kwa kweli mim siwez Nina aibu sana kiasi kwamba hiyo nyama yenyewe nitachukuwa nikiwa natetemeka
Kuna sehem moja nilienda uswahilin nikakaribishwa msosi wakaniambia niwe wa kwanza kujipakulia ile nimefikia hotpot LA mchuz nakuta kasamaki kamoja ilinibid nipakue mchuz tu

Hapo ndipo wenyeji wetu huwa mnayumba kunanyumba moja nilikaribishwa kwa mbwembwe nikawa nazingua dk yamwisho nikajisemea nisije nikaonekana nimewadharau ngoja niingie basi wakati wakukata ukali nikapewa kisu wa kwanza ile kufunuliwa poti nikakuta kilichomo ndani hakiakisi watu tulio lizunguka hilo poti lakini kiukweli ilibidi wajute tu maana baada ya mimi kukata niliona wengine wakiondoka kuelekea nje
 
Kuja bila taarifa halafu anakaa muda mrefu! Mnamaliza kuongea, mnabaki kimya!
 
Hapo ndipo wenyeji wetu huwa mnayumba kunanyumba moja nilikaribishwa kwa mbwembwe nikawa nazingua dk yamwisho nikajisemea nisije nikaonekana nimewadharau ngoja niingie basi wakati wakukata ukali nikapewa kisu wa kwanza ile kufunuliwa poti nikakuta kilichomo ndani hakiakisi watu tulio lizunguka hilo poti lakini kiukweli ilibidi wajute tu maana baada ya mimi kukata niliona wengine wakiondoka kuelekea nje
Kwahiyo ukafanya maangamiz mungu anakuona ujue
 
Mi kwanza sikerekagi hata mgeni afanyeje. Maana wageni wangu wakuu ni watoto 4 chini ya miaka 6 sijui kwanini? Nshazoea wanagonga geti nakulia nikiwafungulia wee purukushani zao ukiziweza watu wazima hutochukia.
 
TABIA YA KULALA KWENYE MAKOCHI WAKATI MGENI AMEONYESHWA CHUMBA CHAKE CHA KULALA. ASUBUHI/MCHANA UNAMKUTA KWENYE MAKOCHI HABANDUKI HATA UKIJA NA WAGENI ZAKO NA KAREDIO KAKE KA KWENYE SIMU SAUTI YA JUU. SASA SEBULE ZETU KOCHI SETI MOJA!
 
Mkimtembelea mleta uzi nyie mtamuua kwa presha.....
Mpuuzi huyu tutaendelea kuchambua ili tupate mambo yakinifu hatukomi kuja

Big Baba

Halafu vipapatio na mgongo juu wewe lazima nisake paja

Wageni wake walisha mshitukia anaficha vipande vizuri chini, juu anaweka vipapatiro, kwa hiyo namshauri next time alete huyo rosted kuku kwenye sahani kubwa ambapo kila kipande kinaonekana.

Hahaa... yaani vipaja anavichimbia chini kabisa... haha

Hahaha huyu mwenyeji noma aseeh... yaani mapaja anayaficha chini

Unakuta mtu firigisi au paja kalificha mbali kabisa chini ya hotipoti au sahani kubwa, na mimi bila kula hivyo vitu kwenye kuku ni kama sijala, kwa nini nisikitafte hadi nikipate, na kama hakipo nauliza kabisa mbona sioni firigisi???!! Hahaha.
 
Wageni wanuka miguuu yani raha tena sebleni hakuna
 
Na wengine wakij wanaongea kwa sauti ya juu na kucheka sasa kama kakodishwa. Mpka mtoto kama amelala huko chumbani anaamka
 
Back
Top Bottom