Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
Watu wanajua kudekeza watotoeti nimwache mtoto mpaka atakapoamua kuodoka nwenyewe. Huwa inakera Sana.
Watu wanajua kudekeza watotoeti nimwache mtoto mpaka atakapoamua kuodoka nwenyewe. Huwa inakera Sana.
Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()
Mkuu taratiibu utanivunja mbavuUnakuta mtu firigisi au paja kalificha mbali kabisa chini ya hotipoti au sahani kubwa, na mimi bila kula hivyo vitu kwenye kuku ni kama sijala, kwa nini nisikitafte hadi nikipate, na kama hakipo nauliza kabisa mbona sioni firigisi???!! Hahaha.
...nahivyo vitu kwa kabira letu ndo heshima ya mgeni Kama sijala hivyo najua utaona Kama nimedharau msosi ulioniandaliaSasa Kama anajijua viatu vyake vinatoa harufu Kari kwanini asiingie navyoMgeni kuingia sebuleni na viatu vyenye matope sijui soksi zina matundu!!!?
Nachukia kweli kweli
Nitakukata Jicho mpaka apatite iishe tabia mbaya sana hii bora uongeze speed ya kula ili ukifikie au chukua vipande vingi kuliko kuchokora chakula unatafuta sijui vipande vinonoSasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()
Nitakukata Jicho mpaka apatite iishe tabia mbaya sana hii bora uongeze speed ya kula ili ukifikie au chukua vipande vingi kuliko kuchokora chakula unatafuta sijui vipande vinono

sasa sister wewe unaficha vinyago vinono chini halafu juu unaweka mifupa. Kweli... Huyo sitomkaribisha tena. Nishawahi kumpata wa namna hiyo ndugu yangu kabisa. Nilimpiga stop kukanyaga kwangu.Nayule anaeingia toilet anakata gogo lake alafu analiacha linadundadunda kwenye sink huyo vipi?
Huyo sitomkaribisha tena. Nishawahi kumpata wa namna hiyo ndugu yangu kabisa. Nilimpiga stop kukanyaga kwangu.



.....nikumuelimisha tu maana unakuta wengine hawajawahi kutumia choo cha ku-frushNaeka randomly bhana,,,nakupa taarifa mapema ole wako ntakushika mkono ukiniletea ujinga ujinga mimisasa sister wewe unaficha vinyago vinono chini halafu juu unaweka mifupa. Kweli...
Mimi nitainua hotpot nivichacharishe kama napepeta mchele vinono vije juu
Hapana jamani huyo kaishi mjini choo cha kuflash toka kabla hajaota meno then unakuja kwangu unajiachia unakula unashiba unaenda chooni unaniachia kimba! Niliona baadae alipoondoka nikamtext msg moja tu, tunakutana ktk sherehe za familia tu kwa kweli......nikumuelimisha tu maana unakuta wengine hawajawahi kutumia choo cha ku-frush
Hapana jamani huyo kaishi mjini choo cha kuflash toka kabla hajaota meno then unakuja kwangu unajiachia unakula unashiba unaenda chooni unaniachia kimba! Niliona baadae alipoondoka nikamtext msg moja tu, tunakutana ktk sherehe za familia tu kwa kweli.



.....yaan watu wengine sijui huwa wakoje maana kwaakili ya kawaida kabla ya kutoka toi inatakiwa ukague kama umeacha mazingira katika hali rafikiHahaha... tena kwako nakuwa free ile mbaya..Naeka randomly bhana,,,nakupa taarifa mapema ole wako ntakushika mkono ukiniletea ujinga ujinga mimi
Broh" me sina shida kabisa na kuongeza, kula uwezavyo lakini ujinga wa kufokonyoa bakuli au hotpot kutafuta pande nono ndo ntakutoa baru kama hamorapa alivo ona bastola enzi za nape nnauyeHahaha... tena kwako nakuwa free ile mbaya..
Mimi ndiyo wale wageni wakati wa kupakua nakuuliza si tupo wawili tu eeh ili nijiongezee mboga