Ewaaaa, nawe kumbe umeona hilo..nilijua ni pekeanguUna choyo!
Madame S
Halafu yanakua yananuka kwa jasho na sebule nzima inanukaukianza uzi wa tabia za chumbani uniite .sebuleni mimi sio mkaaji sana.ila kuna tabia ya watu kulala kwenye makochi mchana inauzi sana maana unaharibu kochi si ukalale chumbani
Ushaolewa mkuu?Unamkaribisha mgeni ndan kwako akishaingia anaanza kufanya ukaguz wa macho kwa vitu vilivyomo mule ndani basi kama unavitu kuzidi yeye utaona anaanza kubetua midomo
Mithili ya beberu aliyetoka kunusa mkojo wa mbuz jike hasa kwa sisi ke
Hii Tabia siipendi
Lakini wageni wengine wazidi kimbele mbele tu kwa watu ukifika tulia subili wenyeji mwingine mpaka jikoni wakati mwingine unaweza usiwe mchoyo lakini tabia za mgeni zikakukelaHahahahaha huyo mtoa mada mchoyo huyu, anataka kidari ale yeye akifika mezani!
Ha rafiki wa wife kachemka leo nina angalia zangu Man U wanafanya yao et siju akataka waangalie sijuu series gani, wewe alichezea mjicho huo ikabidi wabebane wakaenda verandah huko nadhani kunisema!Mimi nakerwa na mgeni anakuta unaangalia mpira alafu anakuambia ubadilishe chanel umwekee anayoitaka
Dah!
Hii kitu inakera sana, yani mimi naangalia mpira MTU anabadirisha anaweka tamthiliya.Mimi nakerwa na mgeni anakuta unaangalia mpira alafu anakuambia ubadilishe chanel umwekee anayoitaka
Dah!
Hii kitu inakera sana, yani mimi naangalia mpira MTU anabadirisha anaweka tamthiliya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nipo nipo kwanzaUshaolewa mkuu?
Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()