Tabata

Mi nafikiri jf iwe na mihuri wa kwa kila thread
Hapa ndo warumi anapomwambia Invisible ampe haki miliki
 
Last edited by a moderator:

Ha ha chezea mjeda Mentor lazima wachezee nakoz
 
Last edited by a moderator:
halafu wakaongezea true story!
waswahili huwa hawa-acknowledge source hata siku moja. kwa hiyo hata ukiona msg huwezi kujua origin yake. kuna wengi tu kazi zao zimefika mbali lakini kwa sababu hakukuwa na acknowledgement basi tena.

na wewe Mentor mdogo wangu umezidi. hebu nenda library ya taifa kachukue ISBN number na uweke kazi zako rasmi. mambo ya kukusoma tukidokoa dokoa na mie nimeshachoka sasa!:der::der::der:
 
Last edited by a moderator:

Pesa ya bandia kwa cheni ya dhahabu bandia!
 
Nikiri pia nimewahi kutumiwa hii stori yako Mentor thru ''wozap'' ila aliyeituma alisema ameikopi mahali (mi nlikua naikumbuka so sikumuuliza wapi).

Your talent is great, na huenda unaokoa watu wawili watatu hapa na pale. Keep them flowing.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka sanaaaaa watu wanacoppy na kupaste mno ....kumbe kazi Mentor ni bonge la kazi
 
Last edited by a moderator:

haswaaa!! nakumbuka vizuri hii stori uliwahi kutupatia sijui huyo source ndo alicopy na kupaste kwako au wewe ndo ulicopy kwake??
 
Last edited by a moderator:
Hii story mpangilio wake haueleweki,alipata gpa 4.2,(2012),january 6,2013 alimpeleka dada ake clinic(baada ya kua ameishi kwake kwa muda akisubiri siku ziende) ndio akakutana na mrembo hapo clinic,kisha graduation 2013,,ina maana alifanya graduation na waliokua nyuma yake darasa moja. Mzumbe ndio wanafanya hivi?
 

Naomba kuku waziri mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Poleh Mentor,kuna raia wanapenda kusafiria nyota za wengine..
U may need to start copyrighting ur work..
 
Last edited by a moderator:
haswaaa!! nakumbuka vizuri hii stori uliwahi kutupatia sijui huyo source ndo alicopy na kupaste kwako au wewe ndo ulicopy kwake??

everlenk msome huyu Kichwa Ndio Mtu hapo juu ndipo ujue aliyekopi kwa mwenzio. Amin Amin Amin Walahi nakuapia...hii ni kazi ya mikono yangu.

Kisha soma maelezo kwenye comment uliyoniquote uone huyu aliyekopi kwangu alivyofanya makosa mengi tu!!!!
Well, I have myself to blame on this I guess!!!!
 
Last edited by a moderator:

Duh! pole sana Mentor haki ya mtu haipotei bure,fuatilia aisee,tena kama sikosei ndo ilikuwa stori yako ya

kwanza humu jamvini au ?,uwe makini from now maana hata ile ya kipolisi kuna mahali niliiona.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…