kwenye red alijiona kapataaaaaaa......
Kwenye blue .... Kumbe kapatikana!!!
Wanaume acheni dharau basi!!!!!!!
Thanx mkuu...its okayMi sijui, Dar mgeni 😄😄😄! Mkuu salama? We jamaa aise nakupa big up kwa kuwa no1 kwa kucomment hasa MMU!
Anyway jokes aside, kuna vitu vya kujifunza kwa hii scenario, kuna baadhi ya incidence zinaweza fanana na mazingira hayo, wether imetumia mazingira halisi au simile.
BTW nime-acknowledge source, its not my story at all, usinirushie mawe The Boss
Nikaenda zangu graduation November na kurudi. Nikawa nimempotezea kabisa Yule binti kama ilivyo kawaida yetu wanaume baada ya kupata tunda (baada ya kumchezesha ngololo)...
Ananiambia: Si pale Tabata sikuoni ukija tena kuchukua ARVs au umebadili kituo?
Kumbe benchi nililokuwa nimeenda kukalia ile siku lilikuwa la wagonjwa wa UKIMWI nayeye alikuwa akisubiri kuchukua dawa.
Mimi nikamwambia acha kunidanganya mbona wewe unaishi hostel Kigamboni na ninajua hivyo..yani huko kote hakuna dispensary?
Akaniambia wagonjwa wengi hawaendi kuchukulia dawa karibu na kwao kwa kuhofia kunyanyapaliwa hivyo alijua na mimi nipo kwenye foleni ya kuchukua dawa ndiyo maana hakuona umuhimu wa kunilazimisha kutumia kinga cku ile tulivyo----
Kwenye red alijiona kapataaaaaaa......
Kwenye Blue .... Kumbe kapatikana!!!
Wanaume acheni dharau basi!!!!!!!
Wanaume wengi hii ndio sura yetu halisi hasa ikiwa lengo la uhusiano ni kwa ngono tu (na wengi hatuweki wazi mapema)
Wanaume wengi hii ndio sura yetu halisi hasa ikiwa lengo la uhusiano ni kwa ngono tu (na wengi hatuweki wazi mapema)
who is next?
Hawapendi kuambiwa ukweli hawa, ukithubutu imekula kwako.
Wakati nangojea graduation ambayo huwa mwezi November, nilienda Dar es salaam kumtembelea dada yangu ambaye alikuwa akiishi huko, .......................
.
.
.
Basi nikawa nakaa naye pale huku nikingojea siku zisonge.
.
.
.
January 06, 2013 siku ya Jumanne: