Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Acha ujinga wewe kupinga unyama nani alikudanganya kwamba inahusiana na ulizaliwa wangapi! Wa wapi wewe? Nani alikudanganya kuna sheria Tanzanian ya UA NIKUUE??

Na kukulia mazingira yoyote yale hayakupi haki wewe kuchukua sheria za kinyama kama zile mikononi mwako ingekuwa hivyo Serikali kupitia vyombo vya dola ingeshatangaza rasmi kwamba sasa ni RUKHSA kwa Watanzania kujichukulia sheria mikononi mwao dhidi ya wahalifu ikiwemo kuwaua.

 
Una experience mkuu vipi wewe ulipona
 
Watanzania ni wanafiki sana.

Jitu linaua watu ila lenyewe likiuawa mijitu inaanza kulialia.

Nasemaje nikikuta mwizi anauawa lazima nishiriki kuchomoa roho. Kama hujaibiwa huwezi jua uchungu tunaopata watu tulioibiwa.
Unajua kuna mijitu haijawahi kuibiwa kitu cha thamani anachokipenda ndio maana wanacomment upuuzi,mwizi hana adhabu nyingine zaidi ya kuondolewa Duniani ili Dunia iwe mahala salama pa kuishi wastaarabu
 
Jinga hilo
 
Yule aliyehukumiwa pamoja na Bwana Yesu naye ni miongoni mwa hao ila sijui neno takatifu linasemaje juu ya wote wawili, aliyeiba na aliyekanyaga
Siku ukija kuibiwa kwa kushambuliwa, au ndugu yako wa karibu atakapofanyiwa kitendo cha kinyama na hawa wezi ndio utaelewa. Au watakapokuvamia nyumbani kwako na kumuingilia mtoto wako wa kike ambae bado hata hajapevuka ndio utaelewa.

Wezi sio watu wa kuwahurumia hata kidogo.

Wasenge sana hawa wezi
 
Wezi wa pikipiki wa hovyo sana,wanatoa uhai wa mtu halafu pikipiki wanakwendq uza 500,000 mpaka 700,000
View attachment 1828982
Habari wakuu, Nina mpango nitafute motokaa na mimi nitembee na uchawi wa mzungu. Ndoto niliyonayo ni kununua Mistubish Freelander naombeni ushauri wazee kama ni gari nzuri au ni kipengele.
View attachment 1830013
Huyo nyau ningekuwepo ningemshushia jiwe fatuma hapo mferejini kumaliza kesi, Washaniibia Milioni tisa hao kenge. Anaesema asamehewe labda kawahi kuibiwa laki moja na wezi so haimuumi.
 
Ngoja siku waje wasafishe kila ulicho nacho kwenu, kisha wakupasue kichwa tuone kama mwanao anakuja kuwa na huruma na wezi. Wanatufunza ukatili wenyewe
 
Ujumbe muruwa huo....

Nadhani ni onyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…