Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Acha ujinga wewe kupinga unyama nani alikudanganya kwamba inahusiana na ulizaliwa wangapi! Wa wapi wewe? Nani alikudanganya kuna sheria Tanzanian ya UA NIKUUE??

Na kukulia mazingira yoyote yale hayakupi haki wewe kuchukua sheria za kinyama kama zile mikononi mwako ingekuwa hivyo Serikali kupitia vyombo vya dola ingeshatangaza rasmi kwamba sasa ni RUKHSA kwa Watanzania kujichukulia sheria mikononi mwao dhidi ya wahalifu ikiwemo kuwaua.

Hakuna unyama wowote mtu wa aina hiyo kuondolewa

Wew n last born nini? Au umekulia kwenye mazingira ya mom and dady

Yani unatetea mwezi? Someone who can just kill you for no reason na bado akakuibia ? Siku hii kichwa ikaonea huruma mwizi naenda itumbukiza baharini kwa muda , ipate maji ya chumvi kwanza, huenda kuna sehem panaanza kufel chumvi itapachangamsha
 
Njoo Dodoma maeneo ya Chamwino, Chinangali na Chang'ombe tembea kuanzia saa tatu na nusu usiku ukinusurika leta mrejesho haijalishi ni me au ke lazima wakunajisi halafu wameathirika, pili wanakuibia na mwisho wanakutoa uhai, ukinusurika kuuawa la Kwanza na la pili ni lazima, ni lazima (Kwa msisitizo) je hao ukiwakamata utawapa.xhai wanywe waondoke?
Una experience mkuu vipi wewe ulipona
 
Watanzania ni wanafiki sana.

Jitu linaua watu ila lenyewe likiuawa mijitu inaanza kulialia.

Nasemaje nikikuta mwizi anauawa lazima nishiriki kuchomoa roho. Kama hujaibiwa huwezi jua uchungu tunaopata watu tulioibiwa.
Unajua kuna mijitu haijawahi kuibiwa kitu cha thamani anachokipenda ndio maana wanacomment upuuzi,mwizi hana adhabu nyingine zaidi ya kuondolewa Duniani ili Dunia iwe mahala salama pa kuishi wastaarabu
 
Hakuna unyama wowote mtu wa aina hiyo kuondolewa

Wew n last born nini? Au umekulia kwenye mazingira ya mom and dady

Yani unatetea mwezi? Someone who can just kill you for no reason na bado akakuibia ? Siku hii kichwa ikaonea huruma mwizi naenda itumbukiza baharini kwa muda , ipate maji ya chumvi kwanza, huenda kuna sehem panaanza kufel chumvi itapachangamsha
Jinga hilo
 
Yule aliyehukumiwa pamoja na Bwana Yesu naye ni miongoni mwa hao ila sijui neno takatifu linasemaje juu ya wote wawili, aliyeiba na aliyekanyaga
Siku ukija kuibiwa kwa kushambuliwa, au ndugu yako wa karibu atakapofanyiwa kitendo cha kinyama na hawa wezi ndio utaelewa. Au watakapokuvamia nyumbani kwako na kumuingilia mtoto wako wa kike ambae bado hata hajapevuka ndio utaelewa.

Wezi sio watu wa kuwahurumia hata kidogo.

Wasenge sana hawa wezi
 
Wezi wa pikipiki wa hovyo sana,wanatoa uhai wa mtu halafu pikipiki wanakwendq uza 500,000 mpaka 700,000
View attachment 1828982
Habari wakuu, Nina mpango nitafute motokaa na mimi nitembee na uchawi wa mzungu. Ndoto niliyonayo ni kununua Mistubish Freelander naombeni ushauri wazee kama ni gari nzuri au ni kipengele.
View attachment 1830013
Huyo nyau ningekuwepo ningemshushia jiwe fatuma hapo mferejini kumaliza kesi, Washaniibia Milioni tisa hao kenge. Anaesema asamehewe labda kawahi kuibiwa laki moja na wezi so haimuumi.
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Ngoja siku waje wasafishe kila ulicho nacho kwenu, kisha wakupasue kichwa tuone kama mwanao anakuja kuwa na huruma na wezi. Wanatufunza ukatili wenyewe
 
Mi sidhani kama jamaa kafanya ivo akiwa hana ufahamu kua anaweza kusakwa na vyombo vya dola, tena dar kabisa na akirekodiwa na watu kibao kushuhudia.

Sidhani kama jamaa alikua anataka sifa tu ila labda anajua anachokifanya . Mpaka hii page ya 15 hakuna alieleta taarifa ya kukamatwa kwa jamaa zaidi ya watu kusema atakamatwa atakamatwa!!

Ambae ana taarifa yake alete tujue mwendelezo wake.

Tuendelee kusubiri....
Ujumbe muruwa huo....

Nadhani ni onyo...
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom