Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Duh! Nimeiona ile video iliyojaa unyama wa hali ya juu na sikuimaliza. Nilijua unyama wa namna ile ni wa majuu tu kumbe ni hapa Bongo!? 😩😩😩
Ah mbona mambo hayo yanafanyika sana bongo
Kuna wakati fulani muda sana umepita lakini
Nilikuwa naishi block41 kinondoni
Siku hiyo asubuhi nlikuwa natoka nawahi stendi nieleke ubungo stendi ya mkoa
Kufika pale biafra nkaona zogo la watu,vijana wazee wengi,sura za watu wengi nikawa nazijua
Pale walikuwa wamewakamata wezi wakabaji nguli kama wawili,wakawa wanawapiga huku wakiwapeleka pembeni wenyewe wanaita machinjio aise waliwapiga tofali za vichwa,mapanga vichwani wale vibaka walikuwa hoi hawajiwezi,aise jamaa waliuaaa wote pale
Unaambiwa polisi walikuja kubeba tu miili
Picha ikaishia hapo

Ova
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
KUNA MITAA YA MSISIRI/MSUFINI PANDE ZA MAHAKAMA YA KINONDONI WATU HUKO WANAKUAMBIA UKIENDA KUIBA MITAA HIYO
HUTOKI SALAMA,LAZIMA WAKUGEUZE KITOWEO
Mshana Jr

Ova
duh mkuu msisiri nime kunywa kahawa sana na wazee miaka 20+ iliyopita!
nimeishi pale kabla ile bara bara haijawekwa lami!! kinyozi wangu alikuwa mzee mmoja alikuwa ana nyoa chini ya embe pale Mwananyamala hospitali 🙆
 
Wabongo kusema ukweli tu wanafik sana kmmke mwizi adhabu yake ni kifo tu
Watanzania ni wanafiki sana.

Jitu linaua watu ila lenyewe likiuawa mijitu inaanza kulialia.

Nasemaje nikikuta mwizi anauawa lazima nishiriki kuchomoa roho. Kama hujaibiwa huwezi jua uchungu tunaopata watu tulioibiwa.
 
duh mkuu msisiri nime kunywa kahawa sana na wazee miaka 20+ iliyopita!
nimeishi pale kabla ile bara bara haijawekwa lami!! kinyozi wangu alikuwa mzee mmoja alikuwa ana nyoa chini ya embe pale Mwananyamala hospitali 🙆
Pale hata mm nlinyoaga kitambo sana
Ila hizo sehemu maarufu sana kuua wezi

Ova
 
Ndiyo sababu binadamu tunatofautiana. Hatuwezi kuthubutu kufanya tendo la kinyama kama lile hata kama hatutapandishwa kizimbani. Binadamu lazima tuwe na mipaka ya kuheshimu UTU WETU.
Nasemaje irudiweee irudiweee, ukishakua mwiz wewe huna haki hata moja . Period
 
Pale hata mm nlinyoaga kitambo sana
Ila hizo sehemu maarufu sana kuua wezi

Ova
kama umenyoa pale utakubali maisha ni safari ndefu sana!!
kwenye macho yangu nina muona jamaa!
kweli kabisa mkuu kuna kipindi walikuwa wana uwa sana vibaka ana pigwa utadhani ni chuma kina vunjwa!
 
Hayo nimeyaona mengi tu lakini sikubalini kumpiga mwizi wa kuku/TV hadi kumuua wakati majizi ya trillions yakiendelea kutuibia huku yakipigwa na viyoyozi maofisini mwao.
Ah mbona mambo hayo yanafanyika sana bongo
Kuna wakati fulani muda sana umepita lakini
Nilikuwa naishi block41 kinondoni
Siku hiyo asubuhi nlikuwa natoka nawahi stendi nieleke ubungo stendi ya mkoa
Kufika pale biafra nkaona zogo la watu,vijana wazee wengi,sura za watu wengi nikawa nazijua
Pale walikuwa wamewakamata wezi wakabaji nguli kama wawili,wakawa wanawapiga huku wakiwapeleka pembeni wenyewe wanaita machinjio aise waliwapiga tofali za vichwa,mapanga vichwani wale vibaka walikuwa hoi hawajiwezi,aise jamaa waliuaaa wote pale
Unaambiwa polisi walikuja kubeba tu miili
Picha ikaishia hapo

Ova
 
Hayo nimeyaona mengi tu lakini sikubalini kumpiga mwizi wa kuku/TV hadi kumuua wakati majizi ya trillions yakiendelea kutuibia huku yakipigwa na viyoyozi maofisini mwao.
Hahaha sasa hao wezi wa mabilion watawapataje ?

Ova
 
Ndiyo sababu binadamu tunatofautiana. Hatuwezi kuthubutu kufanya tendo la kinyama kama lile hata kama hatutapandishwa kizimbani. Binadamu lazima tuwe na mipaka ya kuheshimu UTU WETU.
Mipaka ya kuheshimu utu ni kuto tia mkono wako kwenye mali ya mtu , tafuta chako mwenyewe

Tofaut na hapo nasemaje, hata ngozi uchunwe tu, mwizi hana maana yeyote
 
Haya lakini yule bazazi wakimjua atajuta kuzaliwa kwani ataozea lupango na kubaki na MAJUTO MJUKUU

😂😂 aombe tu asijulikane.
Mipaka ya kuheshimu utu ni kuto tia mkono wako kwenye mali ya mtu , tafuta chako mwenyewe

Tofaut na hapo nasemaje, hata ngozi uchunwe tu, mwizi hana maana yeyote
 
Haya lakini yule bazazi wakimjua atajuta kuzaliwa kwani ataozea lupango na kubaki na MAJUTO MJUKUU aombe tu asijulikane.
Nimetoka huko leo , mamlaka zilikuwepo eneo la tukio, wala hatokamatwa

Hata wenyewe hizi case za wizi wa pikipiki zilisha wachosha zaman tu
 
Kama akianikwa hadharani kupitia number plates ni lazima aone cha mtema kuni. Kuna faida gani basi ya kuwa na vyombo vya dola ambavyo vitafumbia macho unyama kama ule. Hatuwezi kuishi kwenye DOG EATS DOG Society. We can do better than that and IMO it is not too late.
Nimetoka huko leo , mamlaka zilikuwepo eneo la tukio, wala hatokamatwa

Hata wenyewe hizi case za wizi wa pikipiki zilisha wachosha zaman tu
 
kama umenyoa pale utakubali maisha ni safari ndefu sana!!
kwenye macho yangu nina muona jamaa!
kweli kabisa mkuu kuna kipindi walikuwa wana uwa sana vibaka ana pigwa utadhani ni chuma kina vunjwa!
Hahah watoto wa leo hawawezi tambua kama tulinyoa chini ya mti
Pande zile kulikuwa na vibaka sana zamani
Pande zangu zilikuwa nakujaga kupiga mtungi
Nishakoswakoswa sana huko sema u alwatan tu
Ulisaidia

Ova
 
Kama akianikwa hadharani kupitia number plates ni lazima aone cha mtema kuni. Kuna faida gani basi ya kuwa na vyombo vya dola ambavyo vitafumbia macho unyama kama ule. Hatuwezi kuishi kwenye DOG EAT DOG Society. We can do better than that and IMO it is not too late.
Hakuna unyama wowote mtu wa aina hiyo kuondolewa

Wew n last born nini? Au umekulia kwenye mazingira ya mom and dady

Yani unatetea mwezi? Someone who can just kill you for no reason na bado akakuibia ? Siku hii kichwa ikaonea huruma mwizi naenda itumbukiza baharini kwa muda , ipate maji ya chumvi kwanza, huenda kuna sehem panaanza kufel chumvi itapachangamsha
 
ni mpaka siku yakikukuta ndio utaelewa, nilikuwa na huruma sana lakini siku nilivyonusurika kuuwawa na hawa wezi, huruma ilitoweka kabisa. sasa hivi hata nikute anafanyweje roho yangu haishtuki hata kidogo...
 
Back
Top Bottom