Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,097
- 10,613
Yule ni four sana😃Dah!Umemchoka TISS "mstaafu"!😂😂😂😂
Yule ni four sana😃Dah!Umemchoka TISS "mstaafu"!😂😂😂😂
Afadhali awe wa "foo"!Ni likakuu!😂😂😂Yule ni four sana😃
Amebaki kuning'iniza kisogo tu.Tunaomba updates ya hilo Tabasamu
Usipotoshe. Alifungwa na Kikwete kwa kugombea malaya...babu seya alifungwa na serikali ya mkapa, akaachiwa na magufuli.
..je, upo uwezekano wa sabaya kuachiwa na samia? au ataachiwa na raisi atakayemfuatia samia?
Astaghifilullah!🤔Usipotoshe. Alifungwa na Kikwete kwa kugombea malaya.
Hili la Chacha Wangwe ni kweli. Chacha Wangwe alikuwa anataka kugombea uenyekiti na inaonekana Mbowe angeakuwa, ndiyo ikasukwa ajali. Dereva ndiye alipewa pesa ya ummaliza. Mbowe akawahi polisi na kuwaziba mdomo. Basi baada ya hapo ndiyo kesi ikayeyuka hadi leo.Mbowe mnamsingizia vitu vingi sana , issue ya chacha wangwe aulizwe Jasusi Deus Mallya ,inaonekana haujui chochote.
Mbowe angehusika mngekuwa mshamshitaki zamani sana ila mmebaki na propaganda za kijinga.
Kweli kwa sababu umesema weye?Leta ushahidi.Solid evidence!Acha kupeperuka na maneno ya kishangingi.Hili la Chacha Wangwe ni kweli. Chacha Wangwe alikuwa anataka kugombea uenyekiti na inaonekana Mbowe angeakuwa, ndiyo ikasukwa ajali. Dereva ndiye alipewa pesa ya ummaliza. Mbowe akawahi polisi na kuwaziba mdomo. Basi baada ya hapo ndiyo kesi ikayeyuka hadi leo.
Likewise, siyo kweli kwa sababu umesema wewe. Leta concrete evidence kwamba siyo kweli. Ushahidi wangu wa kwanza ni jinsi maneno haya yalivyokuingia. Waswahili husema ukweli unauma. Maneno niliyoandika ni kweli kwa sababu yamekuuma ukasahau "etiquette" za uandishi na matumizi ya jamii forums ukaingia kwenye matusi, Kweli ukweli unauma.Kweli kwa sababu umesema weye?Leta ushahidi.Solid evidence!Acha kupeperuka na maneno ya kishangingi.
Ukweli uume? Ukweli upi?Nimekukatalia kwa sababu sina ushahidi na weye huna.Likewise, siyo kweli kwa sababu umesema wewe. Leta concrete evidence kwamba siyo kweli. Ushahidi wangu wa kwanza ni jinsi maneno haya yalivyokuingia. Waswahili husema ukweli unauma. Maneno niliyoandika ni kweli kwa sababu yamekuuma ukasahau "etiquette" za uandishi na matumizi ya jamii forums ukaingia kwenye matusi, Kweli ukweli unauma.
Hahaha acha kabisa, ingekuwa kweli CCM wangeshammaliza Mbowe zamani sana na wangeitumia kuonyesha wapinzani wote ni wahuni tuu na wauaji, nani asingewaamini kama kiongozi wa upinzani anaua wenzake kugombea madaraka, na acha kuchekesha eti mbowe kawaziba mdomo polisi CCM maana huo ungekuwa ushahidi tosha na ungewekwa hadharani nchi nzima wauone na CHADEMA ingejifia bila hata kuibiwa kura au kuzuiwa mikutanoHili la Chacha Wangwe ni kweli. Chacha Wangwe alikuwa anataka kugombea uenyekiti na inaonekana Mbowe angeakuwa, ndiyo ikasukwa ajali. Dereva ndiye alipewa pesa ya ummaliza. Mbowe akawahi polisi na kuwaziba mdomo. Basi baada ya hapo ndiyo kesi ikayeyuka hadi leo.
Usipotoshe. Alifungwa na Kikwete kwa kugombea malaya.
Tabasamu la jambazi.Tunaomba updates ya hilo tabasamu jamani.
Hili la Chacha Wangwe ni kweli. Chacha Wangwe alikuwa anataka kugombea uenyekiti na inaonekana Mbowe angeakuwa, ndiyo ikasukwa ajali. Dereva ndiye alipewa pesa ya ummaliza. Mbowe akawahi polisi na kuwaziba mdomo. Basi baada ya hapo ndiyo kesi ikayeyuka hadi leo.
Mwenzako ananyea mtondoo pale Jela Karanga wewe unamwaga uharo JF, kikubwa hata Sabaya akitoka Jela leo hii hakika cha moto amekipata, ule ubabe wake wote HAUTAKUWEPO tena, naamini hata akiona Kuku njiani atakuwa anapiga magoti na kutoa SHIKAMOO kwa KukuInakusaidia nini na umasikini wako?