Tabasamu la Sabaya mahakamani lawatesa mafisadi

Tabasamu la Sabaya mahakamani lawatesa mafisadi

Sabaya ni jambazi kabisa.....hii kesi ya pili analiwa pia....labda ije huruma ya mama kusawazisha mchezo maana siasa ni michezo michafu kodi zetu zinateketeaaa
Huyu katolewa mfano... Ili ife fundisho kwa wengine i.e ukitaka kutumia madaraka vibaya yatumie kuonea wapinzani. Serikali ya CCM kama ingetaka kumsitiri, isingeshindwa. Hapa anakula mvua nyingine 30, na ana kesi nyingine kama 5 hivi. Hata zikiisha, huo mchakato wa rufaa utakuwa mrefu kwa kila kifungo. Kiufupi, hakuna rangi ataacha ona.
 
Hiyo inaitwa danganya nyumbu
 
Daah! Kweli duniani kuna mambo! Pamoja na mabaya yote aliyofanya Sabaya bado kuna watu wanamtetea!!
Hao wanaomtetea sabaya ni milupo yake na machawa wake,ss hivi hawana namna walizoea wanaenda mahotel ya gharama na basha wao sabaya,ss havipo wataacha kutoka povu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
inasikitisha sabaya ameachwa ahangaike na kesi peke yake.

..uvccm wako wapi kuweka pressure kijana mwenzao aliyekitumikia chama aachiwe huru?

Sasa kama serikali itashinikizwa na UVCCM na kukubali kumuachia huyo Sabaya aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa Kwenda jela, itakuwa inaweka precedent gani? Je kutakuwa na uhalali gani majambazi wengine kubakia jela?
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
huyu jamaa siyo kuwa anacheka cheka tu.....mm na wasiwasi kuwa atafungwa ila jela hakai...inawezekana anajua kuw atapewa kitita aende nchi jirani ...baada ya miaka 10 atarejea na kuonekana kapewa msamaha wa mkulungwa wa bongoland

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Kila mtu na upenyo wake
 
Inanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000, jambazi lilipigwa paleTabata Relini likawa hoi haliwezi hata kusimama, kisha mzee mmoja akasema, haya jamani, kazi imeisha, mwenye gunia, petroli, na kiberiti. Jambazi lilipokuwa linamwagiwa petrol, lilitabasamu, likasema, .....maye, fire hiyo, lakini no sweat, nakufa kishujaa, watu wakawasha moto, sikuweza kuendelea kuangalia. Kwa ujumla majambazi huwa yana roho ngumu sana.
 
Tz ni nchi pekee watu wanawatetea majizi
Hata ukiibiwa na mtu na ukitaka kumpeleka polisi utasikia fala mmoja anakuambia yaani unamfunga kwa wizi tu
 
Ashazoea miti ya nyapala anataka tena humwambii kitu.[emoji276]
 
Kweli ccm mmeishiwa, juz kulikuwa na uzi humu kuwa Tabasamu la Mbowe lawatesa wabambikia kesi, na ww umeiga hivyo hivyo!
MaCCM akili zao hazina akili.
Chadema wanasajili wanachama, MaCCM yakaja na wanachama zaidi ya elfu ”wasjiliwa Zanzibar ” Chama maiti = CCM.
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Punguza ujinga!! hayo mahaba yako kwa sabaya baki nayo!! utuzazie inzi!! wapi katabasamu?
 
Hamna kesi hapo, kama mbakaji babu Seya aliachiwa sembuse kijana mchapazi Sabaya aliyetuondolea gaidi wilaya ya Hai
Babu Seya aliachiwa na aliyekuwa akimtuma Sabaya kutenda uhalifu.
 
Anajitabasamisha!! Bado makesi kibao ya takukuru yanamsubiri Kule kilimanjaro daadek.
Tunajua watamtafutia namna wamtoe kijana wao wa 'yuvisisemu' lakini no aibu kwake,familia yake na lichama lake
hata muda aliokaa ndani unatosha kabisa hata wakimtoa sina neno
 
Back
Top Bottom