Tabasamu la Sabaya mahakamani lawatesa mafisadi

Jambazi anakula MVUA nyingine kwenye hii kesi ,Sabaya hakuonewa wala kusingiziwa unless una ulemavu wa macho ,kwenye clip zinaonyesha Jambazi Sabaya kashika SMG anampiga mitama mmliki wa duka na kumchapa makofi halafu unasema eti amesingiziwa?

Nashauri Mh Hakimu kwenye hii kesi amlambe miaka 10 tena aitumikie baada ya kumaliza mvua 30.
Gaidi ataenda kulala kitanda kimoja nae huko kisongo
 
Gaidi anayetaka kulipua vituo yaani vituo havijalipuliwa then unampa mtu kesi ya ugaidi kwa anticipation.

Jambazi kashalamba mvua 30,kwenye clip jambazi kashika SMG anatembeza kichapo! Haya kesi ya uhujumu uchumi clips zinaonyesha wameenda Bank na Majambazi wenzake na wamepewa mzigo!! JAMBAZI anakula mvua 10 tena.
 
Hamna kesi hapo, kama mbakaji babu Seya aliachiwa sembuse kijana mchapazi Sabaya aliyetuondolea gaidi wilaya ya Hai
Hamna kesi wakati anatumikia bamvua 30, na hii nayo hachomoki na bado zipo nyingi tu in pipeline. Atafia jela huyu mumeo
 
Gaidi anayetaka kulipua vituo yaani vituo havijalipuliwa then unampa mtu kesi ya ugaidi kwa anticipation.

Jambazi kashalamba mvua 30,kwenye clip jambazi kashika SMG anatembeza kichapo! Haya kesi ya uhujumu uchumi clips zinaonyesha wameenda Bank na Majambazi wenzake na wamepewa mzigo!! JAMBAZI anakula mvua 10 tena.
Gaidi damu ya chacha wangwe inamlilia
 
Gaidi damu ya chacha wangwe inamlilia

Mbowe mnamsingizia vitu vingi sana , issue ya chacha wangwe aulizwe Jasusi Deus Mallya ,inaonekana haujui chochote.

Mbowe angehusika mngekuwa mshamshitaki zamani sana ila mmebaki na propaganda za kijinga.
 
Tulia ale mvua sasa alafu ahamishiwe kisongo
 
Gaidi ataenda kulala kitanda kimoja nae huko kisongo

..uv-ccm mnafurahia sabaya kufungwa?

..mpaka sasa hivi uv-ccm.mmemsaidia Sabaya kiasi gani?

..mawakili wa utetezi amepewa na uv-ccm au kawatafuta mwenyewe?
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Daah! Kweli duniani kuna mambo! Pamoja na mabaya yote aliyofanya Sabaya bado kuna watu wanamtetea!!
 
Sema jambazi wa wilaya ya hai anaetumikia kifungo cha miaka 30 jela, ndo utaeleweka!!!
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Kwa hiyo ulitaka alie na wakati alishiriki kweli kufanya uhalifu? Wanaolia na kuhuzunika ni wale watuhumiwa waliosingiziwa/kubambikiwa kesi na policcm!

Siku nyingine jitahidi kufikiri kwanza kabla ya kutuletea huu uharo wako.
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Anatabasamu baada ya Kupata Bwana Huko Magereza
 
Daah! Kweli duniani kuna mambo! Pamoja na mabaya yote aliyofanya Sabaya bado kuna watu wanamtetea!!
Aliwanyosha nyie machame kujifanya wajanja wa kutafuta hela kifisadi. Ujanja wa hela ndio kwenu uadilifu ndio maana mkamuona mtu kama sabaya ni jambazi. Ila laana itawarudia tu ngoja tuone kesi ya huyo mungu wenu.
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Hata abatasamu mfueni 30 ipo palepale.
Mchumba hana tena
 
Back
Top Bottom