Tabasamu la Sabaya mahakamani lawatesa mafisadi

Tabasamu la Sabaya mahakamani lawatesa mafisadi

tabasam lake ni ishala yakwamba wanakwenda kuku tana nayule gaidi kwa kuwa naye 60 ina msubili
Watajuana wenyewe,kama unafikiri kila asiyekubaliana na aina ya uongozi wa Jiwe na vibaraka wake ni Chadema endelea na fikra zako hivyo hivyo kama mwenyewe unaona inakusaidia.
 
Sasa kama serikali itashinikizwa na UVCCM na kukubali kumuachia huyo Sabaya aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa Kwenda jela, itakuwa inaweka precedent gani? Je kutakuwa na uhalali gani majambazi wengine kubakia jela?

..tangu awamu ya 5 mahakama zetu zimepoteza hadhi na heshima kwa tunaozifuatilia.

..hata wakimtoa au wakiamua hana hatia haitashangaza, wala kuwa ni jambo jipya.
 
tangu awamu ya 5 mahakama zetu zimepoteza hadhi na heshima kwa tunaozifuatilia.

..hata wakimtoa au wakiamua hana hatia haitashangaza, wala kuwa ni jambo jipya.

Haya ndio mambo ambayo wale wanaotaka kuwe na katiba inayopendekezwa na wananchi ili mapungufu kama hayo yaliyoko kwenye Mahakama zetu yarekebishwe . Hayo yakifanyika mahakama zitarejeshewa heshima yao iliyopotea.
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.

Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.​

View attachment 1994900
Ati jambazi atabasamu
 
ili kuondoa double standard huyu naye afutiwe madhtaka na kusamehewa, ndiyooo au niongeze volume!!!!!!’ Asamehewe ili woote tuanze mmoja
 
ili kuondoa double standard huyu naye afutiwe madhtaka na kusamehewa, ndiyooo au niongeze volume!!!!!!’ Asamehewe ili woote tuanze mmoja
Nchi yetu ni ngumu sana!!..Sabaya ni Nani?!!.. Kiongozi gani Yuko radhi kuongelea ya Sabaya?!!.Uliwahi kusikia Kauli hata Moja ya viongozi wake hata wa chama?!!.. Unadhani ni rahisi namna hiyo kumfutia case zake zote?!!..Nani ana interest na Sabaya ili akiwa Uraiani anaweza kufaidika?!!...Sasa iko hivi Sabaya ana wakati mgumu sana kuliko wakati wowote katika Maisha yake!!..(Mbowe Yuko Huru yes Mbowe anaweza kusamehe sasa wale washirika wa Sabaya wanaweza kumsamehe Sabaya mwenyewe?)...Soma Kwa ufasaha tuache ushabiki Sabaya ana hitaji maombi sasa kwasababu yeye ndio anaonekana Kirusi hapa!!..Yeye ndio alitakiwa kummaliza Mbowe lakini imegeuka upande wake?!!.. Inatakiwa tafukuri inatakiwa tuache ushabiki inatakiwa ubinadamu hapa!!..
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.

Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.​

View attachment 1994900
Dogo unaweza kuandika tena upuuzi huu
 
Sabaya kufungwa ni kwa usalama wake mwenyewe la sivyo watamuua uraiani. Wa kumtetea Mungu alisha mtwaa
 
Free Sabaya.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom