Tabasamu la mke wangu.

Tabasamu la mke wangu.

Dah! We kweli hamnazo!!! Kisa na mkasa wa kumuanika mama chanja (kama kweli ni picha ya mkeo) hapa jamvini!? Anika na picha yako basi!!!
 
hapo gesti tena sinza kwa remi, kama umerushiwa picha kwa bluetooth ujua wajanja wame....
 
we kiboko unatulingishia mkeo haya bwana. Wakikunyang'anya ndio utaisoma wewe mwanamke mrembo kihivyo unamuanika huogopi mipaka shume.
 
hii picha ya shemeji inanikumbusha shule za msingi tulipokuwa tunakaguliwa usafi (meno, kucha,na nywele)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom