Mkolokotiatanas
Member
- Mar 2, 2013
- 63
- 7
Kuna jukwaa la kutafuta masoko ya matabasamu...
we kiboko mkuu, huu muda huwa kuna kibaridi ww uko jamvini!
Hahahaaa... Dunia ni duara mkuu.... Baridi hazipo kila sehemu kila wakati...
Tabasamu la mke wangu.