Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,896
Huyo bongenyanya anatakiwa aingie gym apige zoezi la hatari maana wa hivyo shughuli yao si'mchezo sasa ukute bonge dk5 linahema kama limetoka kubeba lumbesa la viazi huyo wife kama yupo humu lazima ataanzisha thread kuwaponda wanaume wenye vitambi utadhani hakumuona au alilazimishwa kuolewa nae.