Mimi ni jiran yao
Kiukweli msiamini kama jamaa kaoa tena tena jumamos iliyopita nimewaona kwenye ukumbi flani wapo na yule mke wake
Hivyo nadhani jamaa kapiga tu picha na si vinginevyo
Labda kama na yeye ameamua atafutiwe kick
Si unajua tena bongo kick ndo kila kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.