Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

Ata Kama imechukua dakika Ngapi Nasema shukran kwa Askari wa TZ kwa kufanya haki,i really hate terrorists wanatupa presha Huku Kenya Sababu Ni majirani wetu Hapa Somalia,Nilionya kitu Kama hiki kinaweza tokea Tz mkikosa kujichunga,Hawa Mafala wanaweza tokea anywhere anytime na kufyatua watu risasi na kupiga mabomu ovyo😳please East Africa help each other to fight this goons before they spread like air in our midst,jiulizeni hiyo bunduki alitoa wapi? na mujiulize jee Kama Kuna wengine Kama Hao TZ??East Africa tukikosa kuchunga will be worst than Somalia,Nigeria and Iran
Not Iran but Iraq.Iran hamna machafuko kaka.
 
Juu ya hali ilivyo Kuwa siku ile huko Dar es Salaam nilitamani hata vyenye ningezaliwa kaunti ya kiambu au machakos
 
thenks for correcting me🙏,but even though Iran na Iraq zinahusiana tu,they are both terrorist countries
Aya bro ila diplomasia za middle east ni ngumu sana zitatuumiza kichwa tutizame East Africa yetu.
Hawa watu jamii ya cushites hususan wasomali ni wa kuwaangalia sana kiukweli wanapenda solving everything by battling.
Sio watu wa kuwachekea aisee.
Na tusipokua makini East Africa itakua km West Africa kila kikicha mirindimo ya shaba.
Imeanza Kenya,ikaja Congo,ikaenda Mozambique sasa Tanzania.
My brother kama East Africa community haijakaa chini na kutafta muwafaka dhidi ya hili suala East Africa itageuka West Africa.
 
kabisa,tunafaa tukae chonjo,Mimi Naomba Sana Tanzania kusikuwe na mikoa hatari Kama za Kenya mf,Wajir na Garrisa,Izi vitu tusipoziangazia na Mapema tutajuta,na Hawa wasomali wakicheza,tuwafukuze wote warudi makwao Somalia,hatuwezi kuwakaribisha Kisha waanze kutuagamiza,Somalia are very angreatfull people
 
Back
Top Bottom