Kwa utawala wa hwa watu na hasa hii regime ya sasa kwao unavyoiona Tanzania wao wanaamini na wameridhika kuwa iko sawa. Kilichopo ni "it is our time to eat" na ndio maana akitoka baba basi anamuachia mtoto au binamu.
Kitu kinaitwa gharama wao ni pale wanapoona kuna makusanyo hazina basi ni lazima ifanyike mbinu yoyote ile pesa 'ziyeyuke', chukulia mfano wa mchakato wa katiba ambapo pesa nyingi zinatumika huku watu wachache wakiwa wanajua majibu katika kile kiitwacho 'utake usitake'.
Japo yote ni ccm lakini tunasikia waliotangulia waliacha balance (B/CF) pale hazina mfano pesa za EPA nk, ngoja tusubirie mwaka mmoja tuone mkulu ataacha balance kiasi gani pamoja na hili deni la taifa linalopanda kila kukicha.