wamesahau kuandika kuwa kasaini na mjataba wa ushoga...
Hiki ni kitu ambacho Kikwete et al wamesahau! Wanajishahua huku na kule kuwa wanamuenzi Baba wa Taifa, wakishapata kura tu ni kiguu na njia kuomba misaada. Hata hawazungumzi kufanya biashara au mahusiano mengine ya kiuchumi - wao ni kuomba tu! Shame on them.Maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe, na tusijidannganye kuwa mataifa makubwa yatatusaidia, La hasha! Mataifa haya makubwa ya Uingereza Marekani na wenzake watakuja kwa ajili ya kutunyonya na sio kutuendeleza.- Mwalimu Nyerere
Nilimsikia Museveni - he quoted Nyerere with appraisal - kwamba aliwahi kusema …."uhuru wa kweli ni pamoja na uhuru wa kufanya makosa…."!Ukiwa na rais mwenye mawazo tegemizi kama Kikwete usitegee wazawa wa nchi kuendelea hata siku moja. Kwake yeye bila kusaidiwa hakuna maendeleo. Kwani hao walioendelea ni nani aliwasaidia! Mimi huwa naheshimu sana watu wanaojiamini na wenye misimamo thabiti kama Mwalimu Nyerere. Ona Museveni alivyosema jana kuhusu ushoga! "I came to learn that homosexuality was unhealthy and this is because they go to a wrong address. Sexual organs of a human being are highly specialised"(I'm ready for Gay fight - Museveni - National - monitor.co.ug)
Good sana hii
Loh! Maskini Kikwete hajui kuwa HAKUNA URAFIKI KATI YA MASKINI NA TAJIRI.............
Nimekaa na kujiuliza kitu nimeshindwa kupata jibu nimekuja na jambo hili ambalo siitaj tulichangie kisiasa bali tuvae viatu vya wanauchumi na tulijadili.
Najiuliza kwanini serekali isiwatume wataalamu wake ambao pengne wana uwezo wa kuwaelekeza hao wawekezaji vizur kuliko kuwapeleka mawazir 7 na mkuu wa kaya ambapo ni gharama kubwa,au kwanin asingeenda membe ambaye ndiye wazir wa kimataifa na jopo la wataalamu toka wizara hizo 7 na ofisi moja ya mkuu wa mkoa? nakumbuka wakati obama akija huku alikuja na wataalamu wake tu na wale wawekezaji akubeba mawaziri?
Je hamna namna inayoweza kufanyika tukawatumia watanzania wenzetu kuwekeza kwenye hii miradi baada ya kuwatafuta wawekezaj wagen ambao wanapewa na misamaha ya kodi juu? Namtakia rais na jopo lake mafanikio katika mwaliko huo walio nao na natumain hata mikataba itakuwa ya waz hao wawekazaj wakipatikana kama ilivyo upigaj wa kura tuloanza kuujaribu hapa nchin