View attachment 148322Tuanze na huyu aliyesaini mkataba wa ushoga jana...
Kwani wewe una matatizo na ushoga? mbona hatukuoni ukipinga wazi wazi kwa kuwapopoa na mawe hadharani?
Nimekaa na kujiuliza kitu nimeshindwa kupata jibu nimekuja na jambo hili ambalo siitaj tulichangie kisiasa bali tuvae viatu vya wanauchumi na tulijadili.
Najiuliza kwanini serekali isiwatume wataalamu wake ambao pengne wana uwezo wa kuwaelekeza hao wawekezaji vizur kuliko kuwapeleka mawazir 7 na mkuu wa kaya ambapo ni gharama kubwa,au kwanin asingeenda membe ambaye ndiye wazir wa kimataifa na jopo la wataalamu toka wizara hizo 7 na ofisi moja ya mkuu wa mkoa? nakumbuka wakati obama akija huku alikuja na wataalamu wake tu na wale wawekezaji akubeba mawaziri?
Je hamna namna inayoweza kufanyika tukawatumia watanzania wenzetu kuwekeza kwenye hii miradi baada ya kuwatafuta wawekezaj wagen ambao wanapewa na misamaha ya kodi juu? Namtakia rais na jopo lake mafanikio katika mwaliko huo walio nao na natumain hata mikataba itakuwa ya waz hao wawekazaj wakipatikana kama ilivyo upigaj wa kura tuloanza kuujaribu hapa nchin
wamesahau kuandika kuwa kasaini na mjataba wa ushoga...
Mkuu usishangae kuona hilo. Sasa hivi huko serikalini mambo haya ya kuandika yamekosa weledi kabisa maana ni hovyohovyo.
Sasa hicho ni cheo chake na bado anashindwa kukiandika ipasavyo unategemea nini.
Siku moja niliona mkubwa fulani kaandika kisha huku chini katamka cheo chake kama; KAMISHNA MWANDAMIZI WA POLISI MSAIDIZI. Nilichoka kabisa.
Sent from my iPad using JamiiForums
Loh! Maskini Kikwete hajui kuwa HAKUNA URAFIKI KATI YA MASKINI NA TAJIRI.............
Kwani kuwapinga sharti uwapopoe na mawe; we m......ge nini? Huoni wanavyofanya viongozi kama Museveni na Mugabe wenye matatizo na ushoga.
Kenyatta baada ya miaka 5 ataigeuza kenya kuwa kama south africa ki maendeleo
chonde chonde waingereza wawekeze kwa kila kitu ila SI USHOGA.
hatuna rasilimali za kufanya mashoga. taifa letu linahitaji nguvu kazi ya kutosha kwa maendeleo yetu
unaongea ukweli mkuu, jamaa yuko buzy na maswala ya nchi yake,
ila mukulu wetu ni kutalii,
uwezi kuwa ombaomba ukawa tajiri!
Kwa utawala wa hwa watu na hasa hii regime ya sasa kwao unavyoiona Tanzania wao wanaamini na wameridhika kuwa iko sawa. Kilichopo ni "it is our time to eat" na ndio maana akitoka baba basi anamuachia mtoto au binamu.
Kitu kinaitwa gharama wao ni pale wanapoona kuna makusanyo hazina basi ni lazima ifanyike mbinu yoyote ile pesa 'ziyeyuke', chukulia mfano wa mchakato wa katiba ambapo pesa nyingi zinatumika huku watu wachache wakiwa wanajua majibu katika kile kiitwacho 'utake usitake'.
Japo yote ni ccm lakini tunasikia waliotangulia waliacha balance (B/CF) pale hazina mfano pesa za EPA nk, ngoja tusubirie mwaka mmoja tuone mkulu ataacha balance kiasi gani pamoja na hili deni la taifa linalopanda kila kukicha.
kwa upande uko sahihi hasa kwa kuutaja umaskini wangu, nakupongeza japo wewe ulishindwa kuuona upuuzi wako pia. Ok kwahio kwakua hakuna maskini bila tajiri and vice versa unahitimisha kuwa ni sahihi huyo nanihii mwenzio kwenda kuwapigia magoti na kujichekesha huko ili ku-prove theory yako ya kipuuzi ya Uwepo wa Maskini na Tajiri? Uwe unawaza kwa kutumia kichwa sio ma'ka'li'oUnapaswa uelewe kuwa bila maskini hakuna tajiri na bila tajiri hakuna maskini.
Kumbuka kuwa Tanzania si maskini, umaskini walionao Watanzania wengi ni umaskini wa ujinga, kama wewe vile.
Hiyo press release inaanza hivi; "Uiengereza inajivunia kuongoza katika uwekezaji nchini Tanzania...". Hivi Ikulu ya Tanzania haikuona kasoro na hiyo paragraph? Hapo ni sawa ma kujigeuza kuwa wasemaji wa serikali Uiengereza!
CC: FaizaFoxyHalafu rais amekutana na Mstahiki mayor wa London au LORD mayor wa London? Alderman Fiona Woolf ni LORD mayor na sio mstahiki. Mstahiki mayor wa London ni Boris Johson. Rais amekutana na nani?
kwa upande uko sahihi hasa kwa kuutaja umaskini wangu, nakupongeza japo wewe ulishindwa kuuona upuuzi wako pia. Ok kwahio kwakua hakuna maskini bila tajiri and vice versa unahitimisha kuwa ni sahihi huyo nanihii mwenzio kwenda kuwapigia magoti na kujichekesha huko ili ku-prove theory yako ya kipuuzi ya Uwepo wa Maskini na Tajiri? Uwe unawaza kwa kutumia kichwa sio ma'ka'li'o
CC: FaizaFoxy
Nadhani kuna wakati kichwa chako kinapata moto eeehhhhhNchi hutembeleana, wanapokuja hapa wakuu wa nchi za nje, hao wa Uingereza wameshakuja hapa pia, unafikiri kwanini?
Dunia hii utafanya maendeleo kwa kutegemea yako tu, hata China wanakaribisha wageni kuwekeza.