Asante sana kwa kunipatia mtandao wa mashoga. Nimeshangaa hadi basi. Tumwombe Mungu aturehemu na kutusamehe. Je, Mwugulu anayajua haya?
Aiyejuwa kama Tanzania pia kuna mashoga huyo atakuwa ni punguani.
Mwenyeezi Mungu atuondolee hila janga. Maana sasa ushoga imekuwa ni fashion, si wanawake si wanaume.
Zamani tulikuwa tunasemwa watu wa pwani, huu utandawazi umefichua waliokuwa wakijificha kumbe wale wanaosema hawamo wao ndio wakwanza.
Mbona alimuacha mh. J. Mbatia ktk hiyo ziara yake?
ww umenena OLESAIDIMU