technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
- Thread starter
- #21
AsanteAisee amekufa kifo cha amani sana, ni wachache sana wenye kupata bahati kama hiyo, hapo hakuna masikitiko wala msiba bali ni sherehe ya babu kupumzika kwa amani, RIP babu yetu