Taarifa za Msiba: Babu yangu amefariki akiwa na miaka 95

Wachaga tunaweka NA matarumbeta kumshukuru MUNGUU KWANZA AMETUMIKA VIZURI KWA KUMWAGA WATOTO WAJUKUU WENYE IDADI KAMILI YA KUTUONGEZEA MAPATO YA TRA HUKO MBELENI BIGUP BABUU
Respect
 
Alizaliwa mwaka 1921 huko mjini Musoma.

Ajaugua alilala vizuri tu Jana akiwa anacheka na watu waliokuwa naye karibu lakini kuamuka asubuhi amefariki.

Alikuwa mwanajeshi mstaafu

Mazishi yatafanyika nyumbani kwake Musoma .

Ameacha watoto 19 na wake wawili .

Wajukuu 56 na vitukuu 122.

Nipo ndani ya majonzi makubwa babu yangu ndiye alisababisha mafanikio yangu mpaka hapa nilipo kwa ushauri wake na kwa namna moja hama nyingine.

Nasikitika kutangaza kifo...

Pole sana comrade...wewe mwenyewe una umri gani??? kama umerithi vinasaba vyake jiandae kuishi miaka hiyo au karibu na hiyo....
 
Alizaliwa mwaka 1921 huko mjini Musoma.

Ajaugua alilala vizuri tu Jana akiwa anacheka na watu waliokuwa naye karibu lakini kuamuka asubuhi amefariki.

Alikuwa mwanajeshi mstaafu

Mazishi yatafanyika nyumbani kwake Musoma .

Ameacha watoto 19 na wake wawili .

Wajukuu 56 na vitukuu 122.

Nipo ndani ya majonzi makubwa babu yangu ndiye alisababisha mafanikio yangu mpaka hapa nilipo kwa ushauri wake na kwa namna moja hama nyingine.

Nasikitika kutangaza kifo...
Pole kwa msiba
 
Pole sana Binaadamu maisha yake ya kuishi hapa duniani ni miaka 70 mpaka 75 zaidi ya hapo ni shida na mateso mengi
 
Back
Top Bottom