Taarifa za Msiba: Babu yangu amefariki akiwa na miaka 95

Alizaliwa mwaka 1921 huko mjini Musoma.

Ajaugua alilala vizuri tu Jana akiwa anacheka na watu waliokuwa naye karibu lakini kuamuka asubuhi amefariki.

Alikuwa mwanajeshi mstaafu

Mazishi yatafanyika nyumbani kwake Musoma .

Ameacha watoto 19 na wake wawili .

Wajukuu 56 na vitukuu 122.

Nipo ndani ya majonzi makubwa babu yangu ndiye alisababisha mafanikio yangu mpaka hapa nilipo kwa ushauri wake na kwa namna moja hama nyingine.

Nasikitika kutangaza kifo...
Mkuu taja majina yake matatu na kituo chake cha mwisho kufanya kazi kabla hajastaafu ili tuamini kuwa alikuwa mstaafu wa jeshi!!(swali la kizushi)!!vipi babu yetu alistaafu akiwa na cheo gani
 
R.I.P Babu Ila alikua LEGENDARY

RIP babu, upumzike kwa amani.
Kifo cha babu kimeendana na msiba wa John Glenn wa marekani. wote umri miaka 95, siku 1 na tarehe 1 ya umauti, wote wananajeshi wastaafu
1481269141628.jpg

John Glenn, Mmarekani wa kwanza kuizunguka dunia afariki

Mwana anga wa zamani John Glenn, ambaye alikuwa Mmarekani wa kwanza kuizunguka dunia kupitia mzingo wa dunia, amefariki dunia akiwa na miaka 95.
Alikuwa mwanajeshi wa zamani na alihudumu pia kama seneta.
 
Mkuu taja majina yake matatu na kituo chake cha mwisho kufanya kazi kabla hajastaafu ili tuamini kuwa alikuwa mstaafu wa jeshi!!(swali la kizushi)!!vipi babu yetu alistaafu akiwa na cheo gani
Mkuu samahani siwezi kwa sababu ambazo ziko juu ya uwezo wangu kwa maana jina lake nalitumia pia itakuwa pia sio nzuri kwa threads zangu za udakuzi ambazo uwa nazileta hapa jamii forum
 
Back
Top Bottom