Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,449
- 127,410
Wacha weee. Hivyo kina Kagere wote mtawalipa pasi wasi?Simba haijawahi kushindwa inapoamua, tutajua jinsi ya kupambana kama ikitokea.
Wacha weee. Hivyo kina Kagere wote mtawalipa pasi wasi?Simba haijawahi kushindwa inapoamua, tutajua jinsi ya kupambana kama ikitokea.
Na sisi si ndio tafsiri ya kutokuwa na ubaguzi hiyo Mtani.Hatuna ubaguzi, kipaji tu.
Sisi siyo kama Yanga ambao ukipaka rangi kichwani wanakusajili.
Ujue nimecheka Dada. Lol.Akwendreee uko
hahah huyo atakua ni kendrick, sio mimi babe cheupeBabe Certified Hater huyo sam sio ww kweli
Fake news, from a gay journalist
Naunga hoja mkono [emoji817] Kwa [emoji817], huyu dada shaffi kama kajichoka asemeee, Simba hatutaki ujinga tutamubomoa reception yotee tuone SASA! Maaana kazidi sana,Huyo Underdog inabidi akae atafakari maandishi yake dhidi ya Clabu ya Simba anayoyatoa kila wakati anapojisikia.
Kama akiendelea na hii tabia yake iko siku washabiki wa Simba watakuja kumdhuru vibaya na hata kumpotezea uhai wake wa thamani.
Mlio karibu naye mpeni hiyo tahadhari na
Mwonyeni
Weka akiba ya maneno! Nipo Kariakoo ujue!Ndio! Sababu mlikuwa mnadharau Yanga kutegemea Wanachi. Nawaza tu akijiondoa itakuwaje?
Afadhali uje na Updates.Weka akiba ya maneno! Nipo Kariakoo ujue!
Bila kumsahau semboWatani zangu Sesten Zakazaka Sapta Sapta , Sanchez magoli , Van pebles, Don Clericuzio Mtoto halali na hela haya mje muone huku kisha mtuthibitishie hizi habari.
Jana alipotoa habari za ajib amerudi mikia walimuona bonge la mwandishi,leo wamemgeuka!Ila Mtani kama habari kazipata sehemu kuwahabarisha watu kuna tatizo?
Hiyo ndio tafsiri yetu Swahiba kwamba tunapenda zile habari tamu tamu kuliko zile ambazo saa nyingine ni zaidi ya shubiri.Jana alipotoa habari za ajib amerudi mikia walimuona bonge la mwandishi,leo wamemgeuka!
Shafii always ni faala
Hiyo ndio tafsiri yetu Swahiba kwamba tunapenda zile habari tamu tamu kuliko zile ambazo saa nyingine ni zaidi ya shubiri.
Mtani kuna nn kwani?Hiyo ndio tafsiri yetu Swahiba kwamba tunapenda zile habari tamu tamu kuliko zile ambazo saa nyingine ni zaidi ya shubiri.
😂😂😂😂Zidisha maombi huko swahiba
Dawa za tumbo la kuhara zimekua adimu leo huku mitaani [emoji13]Na Ghazwat naye "mwana kulitaka ndio mwana kulipewa"