Ni zamu kwa zamu tuMzee kilomoni uyo ss simba na yanga aziwezi kuwa kweny piky moja lazima moja awe n migogoro
Hahaha mnaombea Sir GOD ajibu maombi yenu ya siku nyingiSesten Zakazaka Sapta Sapta , Sanchez magoli , Van pebles, Don Clericuzio haya mje nasikia kumenoga huko.
Japo natamani iwe kweli. 💃💃💃💃💃
aiseAjiondoe tu.
Kwa akili yko simba anamali gn zaid y wanacham n magorofa yaleBora aondoke tu atuachie timu yetu yule fisadi.Tunamshangilia tu kwa sababu tumekuwa tukipata matokeo mazur wakat mali za timu hazipo salama.Viongozi nawapongeza kwa kustuka.
Kwani Simba ina mali zipi labda?Bora aondoke tu atuachie timu yetu yule fisadi.Tunamshangilia tu kwa sababu tumekuwa tukipata matokeo mazur wakat mali za timu hazipo salama.Viongozi nawapongeza kwa kustuka.
Ndio! Sababu mlikuwa mnadharau Yanga kutegemea Wananchi. Nawaza tu akijiondoa kweli itakuwaje?Hahaha mnaombea Sir GOD ajibu maombi yenu ya siku nyingi