Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Hii umewapa kubwa yao. Watamaliza hata Panadol. Mbwembwe zao zote watashangaa Gadiel anasinya Yanga. Nani aende kwenye sintofahamu?
Umeonaeee. Walijua wamefika kumbe bado wana safari ndefu Mkuu. Na leo sijui kama hiyo saa saba yao ilikuwepo kwani Dauda kawavuruga vilivyo.

Na hawataamini Gadiel akisinya kwa Wananchi.
 
Umeonaeee. Walijua wamefika kumbe bado wana safari ndefu Mkuu. Na leo sijui kama hiyo saa saba yao ilikuwepo kwani Dauda kawavuruga vilivyo.

Na kweli Mkuu kama ana akili timamu lazima asinye kwa wanachi.
Haha Leo umetuamulia mtani

Mi napita tu
 
Yaani nimeweka kiti kabisa Mtani halafu hamji na habari za kueleweka. 😅😅😅

Mi mwenyewe mida yangu ya kufanya mambo mengine inakaribia hivyo muda si mrefu natoka humu ntarudi kesho.
Hii habari ya Leo imekufurahisha sana
Uyu jini mkata kamba na upepo utapita tu
Tutabaki salama;

ama ajibu kaja na ka virus
 
Haya jiandaeni kutembeza bakuli,Ahaaa timu ya waarabu/waindi vs timu ya wananchi,hizi habari zina ukweli fulani dio maana magori huyoooo anaachia ngazi
 
Yule bundi wetu
Screenshot_2019-07-04-15-53-24.jpeg
 
Yaani nimeweka kiti kabisa Mtani halafu hamji na habari za kueleweka. 😅😅😅

Mi mwenyewe mida yangu ya kufanya mambo mengine inakaribia hivyo muda si mrefu natoka humu ntarudi kesho.
Binamu!!!! Kuna kausemi " Siku ya Harusi ya mtoto wa maskini... Hata sheikhe hahudhurii "
 
Itakuwa ni jambo njem sana MO akijitoa kwenye club ya Simba.
Ngoja nizidi kufanya maombi ili ajiondoe.
 
Cha ajabu hao wazee timu zikiyumba kifedha wanaochangia ni wengine tu wao hata jero hawatoi ila ndo viini vya migogoro.

Kuna siku watapatikana wahuni watawatandika shaba tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom