mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,769
- 57,979
hauna namba za shafih dauda umuulize?
Bora aondoke tu atuachie timu yetu yule fisadi.Tunamshangilia tu kwa sababu tumekuwa tukipata matokeo mazur wakat mali za timu hazipo salama.Viongozi nawapongeza kwa kustuka.
Ndio! Sababu mlikuwa mnadharau Yanga kutegemea Wanachi. Nawaza tu akijiondoa itakuwaje?
Hii kauli ni ya kuitafakari sana sio kukurupuka aiseeYumkini kuna moshi unafukuta Msimbazi. MO amepost maneno haya hapaView attachment 1146069
Dah yani hizi taarifa ni kama taarifa za msiba mtani ahh....tutaanza kupitisha bakuli kama nyie sasa[emoji28][emoji28][emoji28] Nimecheka lol.
Hope inajielezaHii habari inaanza kusambaa kumhusu mwekezaji wa klabu ya Simba zina ukweli kiasi gani?,taarifa zinadai kuwa mo ametofautiana na viongozi wa Simba ktk vitu mbalimbali hii ni kwa mujibu wa shafih daudaView attachment 1146029
Ooh. Sawa Mtani.Kwani ilikuwaje kabla hajaja? Simba itabaki tu, watakuja wengine.
Uuwiiii! Ila unajiepusha na mengi.Mimi ni mshabiki wa Simba siku ikishinda tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora aondoke tu atuachie timu yetu yule fisadi.Tunamshangilia tu kwa sababu tumekuwa tukipata matokeo mazur wakat mali za timu hazipo salama.Viongozi nawapongeza kwa kustuka.
Pole Mtani nasikia ni za uongo bana.Dah yani hizi taarifa ni kama taarifa za msiba mtani ahh....tutaanza kupitisha bakuli kama nyie sasa
Bora aondoke tu atuachie timu yetu yule fisadi.Tunamshangilia tu kwa sababu tumekuwa tukipata matokeo mazur wakat mali za timu hazipo salama.Viongozi nawapongeza kwa kustuka.
"AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU "
Kwa nini wasilipwe wakati Simba ni kampuni isiyotegemea bakuli la mtu?Yaani Simpendi huyo Shaffih Mungu anisamehe huwa ana kiherehere sana na Simba.
Nilijikuta nawaza watalipwa vipi wachezaji hasa hawa wapya na jinsi usajili wao ulivyo wa gharama.
Kabla ya yeye na baada ya yeye kuja kuna tofauti kubwa sana mtu mwenye kuangalia kwa jicho la ndani atagundua Mo dewj kaisaidia sana simba kuanzia upande wa zawadi kwa wachezaji kama kuwapa moyo,management,kifedha ,ukaribu na club,usajili katia saini kwa wachezaji mahiri,tusiseme tu tulikua tunaishije bila yeye tunatakiwa tuaangalie katufanyia mangapi mazuri na yenye tija?Pole Mtani nasikia ni za uongo bana.
Nimeona sehemu 100 Likes anasema kwani kabla yake mlikuwa mnaishije japo nawaza tu asipokuwepo uwezo wa kuwa na kile kikosi cha zaidi ya 1b utaendelea kuwepo?
Hapa umenena Mtani. Sababu mwisho wa siku itakuwa ni kurudi nyuma na si kusonga mbele.Kabla ya yeye na baada ya yeye kuja kuna tofauti kubwa sana mtu mwenye kuangalia kwa jicho la ndani atagundua Mo dewj kaisaidia sana simba kuanzia upande wa zawadi kwa wachezaji kama kuwapa moyo,management,kifedha ,ukaribu na club,usajili katia saini kwa wachezaji mahiri,tusiseme tu tulikua tunaishije bila yeye tunatakiwa tuaangalie katufanyia mangapi mazuri na yenye tija?
Appreciation haiondoi kitu nafsini zaidi ya kukuongezea thawabu...mimi nampogeza kwa yale makubwa aliyofanya .. Sasa tunza hii kumbukumbu kama hizi taarifa A kumuhusisha Mo dewj kuondoka ni za kweli basi utakuja kuniambia kama hatutayumba kimpiraHapa umenena Mtani. Sababu mwisho wa siku itakuwa ni kurudi nyuma na si kusonga mbele.
Leo naona akili yako imetulia"AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU "