Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,940
Itabakia kua tetesi
Itabakia kua tetesi
Wapi Dauda kasema ni tetesi Mtani?Itabakia kua tetesi
Wapi Dauda kasema ni tetesi Mtani?
Natumai zitakuwa ni fake rumors mtani.Ndio! Sababu mlikuwa mnadharau Yanga kutegemea Wanachi. Nawaza tu akijiondoa itakuwaje?
Duuh!Uyo boya tu
Amekaa kikuda kudaDuuh!
Huenda japo muda utaongea.Natumai zitakuwa ni fake rumors mtani.
Na si Zahera peke yake yaani wengi tutacheka sababu uwepo wake Mo, Haji Manara alisema mtatwaa ligi kuu misimu 10 mfululizo.Zahera atacheka mpaka gego la mwisho.
Mungu mkubwa; ngoja tusubiri saa saba sasaWapi Dauda kasema ni tetesi Mtani?
Ila Mtani kama habari kazipata sehemu kuwahabarisha watu kuna tatizo?Amekaa kikuda kuda
Ila hizi ni janja janja najua za viongozi wenu mtani!Huenda japo muda utaongea.
Na si Zahera peke yake yaani wengi tutacheka sababu uwepo wake Mo, Haji Manara alisema mtatwaa ligi kuu misimu 10 mfululizo.
Nimesahau kukutag. 😅😅😅Shaffih Dauda anadhani MO alipewa timu kihuni kama yeye alivyokutana mke wake Baa.
Michango inaendeleaj?Ila Mtani kama habari kazipata sehemu kuwahabarisha watu kuna tatizo?
Msitujumuishe humo Mtani sababu huyo Dauda ni Nguvu moja mwenzenu.Ila hizi ni janja janja najua za viongozi wenu mtani!
Iko poa kabisa. Tunasubiria tu Msimu mpya uanze.Michango inaendeleaj?
Kazi yenu kufatilia nyumba ya jiran ya kwenu hamuyajuiIko poa kabisa. Tunasubiria tu Msimu mpya uanze.