Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Mbona Wahindi ndo zao ili wasujudiwe... Yanga tuna uzoefu na tabia hizi. Kuna bwana mmoja alisema hapendi kuona timu inamilikiwa na mtu mmoja...
 
Aende tu huyo tapeli alitaka kutumia mgongo wa Simba kujitajirisha sasa kaona imeshindikana anaanza kulia lia.

Hii habari inaanza kusambaa kumhusu mwekezaji wa klabu ya Simba zina ukweli kiasi gani?,taarifa zinadai kuwa mo ametofautiana na viongozi wa Simba ktk vitu mbalimbali hii ni kwa mujibu wa shafih daudaView attachment 1146029
 
Kule Twitter atapigwa madongo ya kufa mtu. Kwanza watu bado wana usongo naye kwa kukaa kimya kuhusu kutekwa kwake na hili tena lazima atajuta kuifahamu Simba.
 
Huyu mpuuzi sijawahi kumuamini hata siku moja ..hua anataka umaarufu wa kipumbavu .....ndio mana soka leti haliendelei kwa ajili ya ******* kama hawa wenye kijicho na roho mbaya ..rest in peace in advance
Hii habari inaanza kusambaa kumhusu mwekezaji wa klabu ya Simba zina ukweli kiasi gani?,taarifa zinadai kuwa mo ametofautiana na viongozi wa Simba ktk vitu mbalimbali hii ni kwa mujibu wa shafih daudaView attachment 1146029
 
Nasikia Dawa za k u h a r i s h a zimekwisha huko Mtaani kwani mashabiki wengi matumbo yamevurugika kisa ile kauli ya Dauda eti Dada? 😅😅😅😅😅
Hii umewapa kubwa yao. Watamaliza hata Panadol. Mbwembwe zao zote watashangaa Gadiel anasinya Yanga. Nani aende kwenye sintofahamu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom