Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,479
- 127,464
Duuh! Hivyo niuluze Mtani akishasambaza hivi ndio anapata nini au raha yake ni kuona wana Nguvu moja mukiwa roho juu?Huyu nasikia kuna kazi aliimb akaikosa tangu hapo amekua Wakala wenu hapendi kuona simba ikikuwa kubwa. Kitu ambacho ni kigumu sana sahivi.