Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Ndio maana hutakiwi kuwekeza moyo wako kwenye hizi Timu....
 
Ni wakati wa timu kuchukuliwa na Baraza la wadhamini likiongozwa na Mzee Kilomoni
 
Mzee kilomoni uyo ss simba na yanga aziwezi kuwa kweny piky moja lazima moja awe n migogoro
Kazi ya kitengo hiyo mkuu, wenye timu kina hanspope wameshamalizana na kesi za uhujumu uchumi wanataka kurudisha vyao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom