Waliosimamia mchakato kuna mahali waliteleza hasa katika mgawanyo wa madaraka.
Haiwezekani tuwe na mwenyekiti wa club, mwenyekiti wa Board ya wakurugenzi na Mkurugenzi.
Ilitakiwa ama kuachana na mfumo wa kisiasa na kuweka mfumo wa kibiashara au kubaki na mfumo wa kisiasa.
Bila kufanya marekebisho simba watavurugana sana kwa sababu hao viongozi wa kuchaguliwa wanahitaji kula na hawana mishahara wataishije ?
Kuna kila sababu pia ya kurevisit kama hao registered trustees bado wana nafasi katika mfumo mpya.
Tatizo kubwa linaloleta migogoro hii ni njaa tu siyo Kitu kingine