Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Akiondoka tu timu akabidhiwe mzee Kilomoni na hati yake tuone kama ataweza hata kulipa mishahara, khouma kabisa hicho kimzee kife hata kesho
 
Natamani iwe kweli hahahaha

Adui muombee njaa
 
Haiwezekani afanye usajili kama ule halafu aondoke,kama kuondoka anaondoka kabla ya usajili
 
Huyo jamaa si ndiye alipigaga hesabu zake kisha akautangazia uma kua Simba wataingia kama underdogs kwenye CAF Champions League na wataburuza mkia kwenye kundi lake?

Aliwahi kuomba radhi baada ya utabiri wake kuangukia pua? Na hapa pia naona kama anawanga tu kama wachawi wengine
Kweni watabiri wa hali ya hewa wakitabiri mvua na isiponyesha huwa wanaomba radhi?
 
Akiondoka tu timu akabidhiwe mzee Kilomoni na hati yake tuone kama ataweza hata kulipa mishahara, khouma kabisa hicho kimzee kife hata kesho
Hawa watu wa clouds wanachuki binafsi na Simba, habari nyingi za Simba huwa wanazijadili kwa very negative way au hawazipi umuhimu wowote. Watu wanaomshabikia mzee Kilomoni hawajiulizi muda wote aliokua kiongozi ameleta maendeleo gani klabuni?
 
Huyo jamaa si ndiye alipigaga hesabu zake kisha akautangazia uma kua Simba wataingia kama underdogs kwenye CAF Champions League na wataburuza mkia kwenye kundi lake?

Aliwahi kuomba radhi baada ya utabiri wake kuangukia pua? Na hapa pia naona kama anawanga tu kama wachawi wengine
Kuumbe eee? Semeni tu hivyo mwisho wa siku zinakuwa habari za kweli mnazimia kisha mnaku fa. 😀😀😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom