Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Hii habari inaanza kusambaa kumhusu mwekezaji wa klabu ya Simba zina ukweli kiasi gani?,taarifa zinadai kuwa mo ametofautiana na viongozi wa Simba ktk vitu mbalimbali hii ni kwa mujibu wa shafih daudaView attachment 1146029
Muundo wa uongozi wa Simba utakuwa haujakaa vizuri. Kuna haja ya kutenganisha Kampuni ya SIMBA na Club ya Simba ili Simba kampuni umiliki wake uwe kati ya "Strategic Investor" na Club ya Simba. Wale wazee wa Simba wao waongoze Club ya Simba na Kampuni ya Simba (ambayo ndiyo itasimamia timu ili kuingiza kipato) isimamiwe na Bodi ya Wakurugenzi itakayoundwa kati "Strategic investor" na Uongozi wa Club ya Simba kwa uwiano wa "shareholding"

Wazee na Club ya Simba wataone pesa ya Simba kupitia mgao wa faida "Dividend" kama ipoo faida na mapato yatokanayo na wanachama. Mapato mengine yote ni mali ya Simba kampuni
 
Mo kama unaenda ww nenda tu
Screenshot_20190704-170540.jpeg
IMG-20190704-WA0003.jpeg
 
Huyo yohana Ramadhan mwenyewe kaikuta Simba na ataiacha, na Hana msaada wowote zaidi ya kutia kichefuchefu na harufu mbaya

Better mo ana mchango wa maana
 
Hii umewapa kubwa yao. Watamaliza hata Panadol. Mbwembwe zao zote watashangaa Gadiel anasinya Yanga. Nani aende kwenye sintofahamu?
Jamani Gadiel ni mchezaji wenu! Akisaini Yanga wala haitakuwa stori, ila akisaini Simba hapo kuna stori, maana atakaa benchi. Inaelekea kuna hofu ya Gadiel imetanda miongoni mwa wanavyura
 
Kabla ya haya kufanyika, Mo kiuhalisia ni mfadhili wa Simba kama alivyokuwa Manji. Safari no ndefu na haitaki shortcuts.
Muundo wa uongozi wa Simba utakuwa haujakaa vizuri. Kuna haja ya kutenganisha Kampuni ya SIMBA na Club ya Simba ili Simba kampuni umiliki wake uwe kati ya "Strategic Investor" na Club ya Simba. Wale wazee wa Simba wao waongoze Club ya Simba na Kampuni ya Simba (ambayo ndiyo itasimamia timu ili kuingiza kipato) isimamiwe na Bodi ya Wakurugenzi itakayoundwa kati "Strategic investor" na Uongozi wa Club ya Simba kwa uwiano wa "shareholding"

Wazee na Club ya Simba wataone pesa ya Simba kupitia mgao wa faida "Dividend" kama ipoo faida na mapato yatokanayo na wanachama. Mapato mengine yote ni mali ya Simba kampuni
 
Bora aondoke tu atuachie timu yetu yule fisadi.Tunamshangilia tu kwa sababu tumekuwa tukipata matokeo mazur wakat mali za timu hazipo salama.Viongozi nawapongeza kwa kustuka.

Timu yenu ina mali gani? Acha kuwaza kimaskini, hizo mali zenu zimewasaidia nn? Yan nyie ndio mashabiki maandazi
 
Shaffii niwakumubomoa Meno yote ya mbele ili akitaka kutamka SIMBA aseme THIBA pumbafuuu zakeee
 
Nasikia Dawa za k u h a r i s h a zimekwisha huko Mtaani kwani mashabiki wengi matumbo yamevurugika kisa ile kauli ya Dauda eti Dada? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha Dada ebu niache kidogo
 
Back
Top Bottom